Vieloon JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,520 Reaction score 695 May 23, 2016 #1 Majibu ya Usaili wa Mchujo Dart viiip? kwa Mwenye habari tupashane, maana waliahid watatoa Jana 22/05
Majibu ya Usaili wa Mchujo Dart viiip? kwa Mwenye habari tupashane, maana waliahid watatoa Jana 22/05
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,938 Reaction score 10,818 May 23, 2016 #2 kimnya mpak sasa.
N Neyjerry Member Joined Jun 12, 2012 Posts 82 Reaction score 15 May 23, 2016 #3 Tembelea website yao. Yameshawekwa
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,938 Reaction score 10,818 May 29, 2016 #4 awa jmaa kweli hawachukua watu.
paramawe Senior Member Joined Apr 13, 2013 Posts 151 Reaction score 24 May 30, 2016 #5 hata zile za maxcom hawajaita usaili kimya kabisaa
R royco Member Joined Mar 10, 2016 Posts 7 Reaction score 3 May 31, 2016 #6 Jaman mwenyewe kujua chochote kuhusu zile nafasi za station assistant atujuze mana sielewi zimeishia wapi!
Jaman mwenyewe kujua chochote kuhusu zile nafasi za station assistant atujuze mana sielewi zimeishia wapi!