The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Asprin hebu niondolee kiwongu faster maana ntakudunga busha muda si mrefuSikumbuki kama nlishamkagua The secretary. Hebu mwambieni aje pande hii fasta!
ndo hayo kakwamvia weye? Alokwambia maini yanazeeka nani?
Tafakari basi love naumwa kwa ajili yako The secretary
Nangoja jibu
Ni me, kwani humjui David Cameroon?wait a minute; hivi remmy ni ke au me?? Just curious.
Tafakari basi love naumwa kwa ajili yako The secretary
Nangoja jibu
Thanks ma dia....miss you sana mumy!
Niko naangalia jukwaani hata siwaoni rafiki zangu na nimewamiss sana......!
Hebu saidia kuwasalimia ukiwaona!
mwenzio The secretary anaumiza moyo wangu,na uzee huu si atantoa roho?
ni me, kwani humjui david cameroon?