Darling I love you

Thanks Fazaa.
I should so because he is everything i have in terms of love. YOU TOO DO IT FOR UR HUBBY OR CUTTIE
Super, also dont forget one thing, the basics of being a good wife, will inspire your husband to be a good husband :poa
 
Ukiishi na mumeo akawa anaku cheat once in a while katika ndoa.... ni tofauti na yule ambae hajawahi cheat akaja cheat baada ya miaka. Hapo hata ndoa yaweza kufa kabisaa... Sijui labda nakosea ila naelewa hivo.
Your very true. na sababu kubwa ni kwamba mtu unakuwa hutegemei kama mwenzi wako anaweza akakusaliti. Lakini sikufichi technique nzuri ni kutokumfuatilia ana mwenzio. Unajua hasa akina mama huwa tunakosea hapo tusipende kuwafwatilia sana hawa wenzetu. Ishi na mume kama mume na kwakua ni mtu mzima asikuumize sana, kila mara ukawa unamuwazia. Ukimpuuzia wala hakupi shida, tena atakapo kosea sana halafu uka ignore huwa anaumia sana. msome mwenzi wako yukoje kisha tenda tofauti na anavyotarajia. pale anapotaka kudraw attention yako wewe unipotezea. lazima mtadumu tu. thats my secret
 
Kwahiyo mimi ntasubiri mpaka miaka 45 ifike ili niwe na nidhamu. Ushauri wenu utazingatiwa


sasa hapo utachelewa mambo mengine. unajua maisha yako in stage na ili uwe na history lazima upitie almost each stage. hapo utajua ladha ya maisha. mimi nilienjoy sana maisha ya kupanga nilipokuwa binti enzi hizo. mtu unapanga single room, unapaeka panakuwa neat, siku bf anakuja kukusalimia anakuja kwako. tena tulikuwa na shuka za mashamsham like shuke imedariziwa i love you so much. siku bf anakuja inapigwa pasi kitanda kinatandikwa utafikiri stail ya mustini. hallafu unaweka yasimin kitandani chumba chote harufu nzuri. those days were good na nafikiri kwa walioipita hawana cha kusimulia hivyo na wewe pitia hatua zote.
 
Why does it take that long for marriage to stabilize? Au baada ya miaka kumi ndo kila mtu ana give up na kuamini that is it...hakuna tena njia nyingine ni kuubeba huu msalaba mpaka mwisho.

that is one factor nyingine ni

majukumu kuyazoea

kipato kustabilize

wapambe kukata tamaa kuwa hakuna jipya tena hapa.

umoja wa familia. like watoto wanakuwa ni sehem yenu, na mmeshazoea yatokanayo nao na mko tayari kuyakabili.

tena watu wengi huwa kwa miaka ya mwanzo, wanakutwa na misukosuko migumu ambayo huwafanya wawili hawa kukata tamaa na maisha yao. inahitajika busara tena hapa hasa ya mama, ili kusmamisha hiyo familia. mama ukiwa legelege lazima utajikuta unabeba mizigo yako na kuacha nyumba yako. upole, upendo usiokuwa wa kinafiki, uwajibikaji na kujitolea kwaajili ya familia hasa, mwanamke anapojitolea akiongeza na maombi basi lazima ndoa hiyo isonge mbele tu.

tatizo akina dada weng huwa wanakata tamaa lakin kamwe usikate na hata kama mume ataonyesha kila hali ya kukuacha usikate tamaa. timiza wajibu wako kisha mwombe mungu ambadilishe mwenzi wako. Mungu huwa anaangalia kama unatimiza wajibu wako basi siyo mchoyo wa kukupa haki yako.
 
hongera sana
huyu mumeo ni member humu?

The Boss umepotea sana mkuu
Upo mkuu
Hope usalama upo

Nafikiri zaidi haya maneno angemwambia wakiwa wawili tuu maana kama si member humu yatakuwa hayana maana au atakuwa kafurahisha jamvi tuu
 
Hongera dada yangu
maana nasikia hayo mambo ya ndoa ni magumu sana..
Mubarikiwe wapendwa..tuombee na sisi tufike huko kwani hili gonjwa la silimu ni hatari.
 
The Boss umepotea sana mkuu
Upo mkuu
Hope usalama upo

Nafikiri zaidi haya maneno angemwambia wakiwa wawili tuu maana kama si member humu yatakuwa hayana maana au atakuwa kafurahisha jamvi tuu

ujumbe huwa unapelekwa kwa njia nyingi sana na hii pia ni njia mojawapo.
 
''Ooh! What a wonderful wife! How did you know that I exist at JF?... I'm real impressed by your beautiful, sexy and lovely worlds. The only thing I can say is that I LOVE YOU TOO DARLING, promising to love you forever as I have always done!''I wish I were your husband, I would let you feel the same way you feel about 'me'... Hongereni sana gfsonwin na mumeo..
 
Hongereni sana na mungu awabariki katika ndoa yenu


sikilizeni huu music wewe na husband

"Loving You Is Easy Because You're Beautiful -Shanice

Loving you
Is easy because you're beautiful....
Making love with you
Is all I want to do....
Loving you
Is more than just a dream come true....
And everything that I do
Is out of loving you....

No one else can make me feel
The colors that you bring....
Stay with me while we grow old....
And we will live each day in spring time....

Because loving you....
Has made my life so beautiful....
And every day of my life
Is filled with loving you....
Loving you....
I see your soul come shining through....
And everytime that we....
Oh I'm more in love with you....
 
My sweet husband I love you. You are the nice and sweet husband I have ever seen. I do always thank God for giving me such an outstanding person to be my husband and the father of my kids. Whenever i think of the 10 years we have been together I do assume it to be just a day. you mean alot to me and to our kids. May the blessings of our good God be upon you as you pray and may his Holy spirit be upon you wherever you go. I pray that our love will last forever till we see our grandkids........... you are good G.

............................Dear G' YOU ARE SO LOVELY. Love you a lot my sweetheart. HAPPY ANNIVERSARY DEAR FOR CELEBRATING 10 YEARS OF OUR MARRIAGE.

Ilu
Ilu
Ilu

wow! A' wewe ni mke mzuri sana kwangu. Daima nitaendelea kukupenda. Nakupenda sana mkewangu mpenzi.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom