Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,973
- 4,081
Je ni utabiri?Dark days are coming before the general election 2025.
Wanaocheka watalia 2025
Wanaolia watacheka 2025
Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi
Mwaka mgumu Sana kwa machawa.
Mungu ibariki Tanzania !!
Je ni ufunuo?
Je ni taarifa ya ratiba zilizo nyuma ya pazia?
Yote katika yote ni habari njema kwa .........