Dark days 17/03/20

Take it from me, ..."


Sasa who are you to take from???

Wewe kwa maelezo yako haya unatofauti gani na hii speculation ambayo wewe unataka kutuambia tusiisikilize??? Unalalamika tu halafu unataka tuchukue speculation yako.

Hopeless!!

Tunamsikiliza mtaalamu wa mambo , na tunasubir episode nyingine!!
 
Jamni wewe ndo unaleta speculation na kuiharibu JF.

Umeambiwa hii ni story lakini bado unakaza shingo .


Dah

Wabongo bhaana.
 
Katika maisha ogopa sana mtu akiomba msamaha ww ulie ombwa lazima utaweka silaha chini kwakujua kua uyo kasanda.
Kumbe mwenzio ndio anaenda kujipanga kisawasawa na kuja kukumaliza na timu yake.
 
Who am I? I'm a credible source in JF you can confirm with my threads and my reputation outside JF too.

Sijawahi kuwa mtu wa speculation unless hunifuatilii kule jf intelligence.
 
Kiufupi analazimisha iwe kweli huku mwandishi ameshasema ni stori tu (hekaya).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…