Dark days 17/03/20

Dah huu uzi upo mbele ya muda.... itoshe kusema yoga, akikwambia Leo usilale ndani Kuna drone kutoka Iran itatua hapo kwako, hata kama utabishana ila hakikisha siku hyo umelala kwa ndugu km 10 kutoka kwako😂😂😂😂😂
 
Its too much for them, who will do such a work in this dying field....
 
Idea zako sio za maendeleo ukitaka kulimbikiza power kwa rais
 
JULY HADI DESEMBA 2025

1. Yatatokea matukio ambayo kila Mtanzania atajua wazi bila kusimuliwa kwamba Mungu yupo na ana nguvu kuliko hekima ya juu ya wanadamu wote
2. Kila Mtanzania ataona na kujua waziwazi kwamba uovu hauna ridhaa ya Mungu ya kushinda haki, hasa pale wenye haki wakiomba kwa bidii na kwa mioyo yao yote
3. Kila Mtanzania atajionea waziwazi anguko la kila mtegemea uchawi, uganga, makafara na nguvu za giza
4. Kutakuwa na kicheko, furaha na shangwe kwa Watanzania wa chini waliokuwa wakilia na kuumia bila kilio na machozi yao kuthaminiwa
5. Kila aliyeamini kwamba atanufaika na udhalimu, ukandamizaji haki na mengine kama haya, aanze kuomboleza mapema maana Mungu ameamua kutia sufuria la ubwabwa mchanga

Nabii wa kweli hupimwa kwa uthibitifu wa maneno aliyosema KWA JINA LA BWANA

Bishop Dickson Cornel Kabigumila,
Hitimisho la mfungo wa siku 50 kuombea taifa la Tanzania,
23.06.2025
Cc Tayana-wog nimeikuta sehemu hii mtumishi, hebu tia neno Rabbon
 
Wakati mwingine ni vigumu kujua nabii ni ipi na mpangokazi wa kitengo ni upi!!

Vyote vinashirikiana katika mlengo fulani katika kuandaa watu kisaikolojia na mambo Fulani mtambuka ya kitaifa yanayopaswa kutokea!!

Kuna mvutano kati ya urais wa mtumishi wa Mungu vs urais wa wenye dola waliokuwepo kabla awamu hazijawepo vs urais wa wahuni wanaong'ang'ania madaraka na kutaka nchi iwe chini Koo na mafia fulani wajiitao KIJANI INA WENYEWE!!

Bado hatujui nani ataibuka kidedea kwenye haha yote!!

Sisi kazi yetu ni kusoma,kuchambua na kusikiliza sauti zote na hayumkini kulipa kodi pasipo kukoma!!

Mungu ibariki jamuhuri ya muungano wa Tanzania yetu!
 
Same message, different messenger s!

Makinika.
 
Hivi ni kwanini Morogoro huwa hamuioni? Je ni mahali pa mkakati zaidi? au ni makusudi tu...
 
Yes niona mkuu,according to pastor, Kabugumira ,ndo wanamaliza mfungo wao wa 50 days🙌

Sisi tuna mfungo wa siku 90(3 month) mpk October .

Itafakamika tu,lzm watu waelewe hatucheki na wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…