Jackomwanda
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 105
- 92
Ww tupe madini wenye akili tutabaki na story yetu hao wanao tumia fuvu kufikiri Acha wateseke wakali wa code tunajua what's was done.Soon my friend, kuna kijigroup cha watu hapa bwana kime catch feeling kina relate na vitu vyao wanavyotaka!!
Afu ushamba nyie yaani unakuja pm unasema eti we are watching you carefullywacha weeee!!
Em tulieni bwana tusome tu!!
Huyo mzee mnamtaja hapa kuwa na muonea na kumchafua hakuna mahala ametajwa!!
Mathew 24:7Mathayo 24 imesema mtasikia habari za vita na matetemeko, na haijasema Mungu ataangamiza miji. Huu unabii unaosema kuwa Mungu ataangamiza Dar hautakuja kutokea, kama na natural disaster tahadhari inabidi itolewe kwa mikoa yote ya Pwani. Ila kwa Mungu ninayemjua hataangamiza Dar. Nakuhakikishia unabii wa kuangamiza Dar hautatimia, mwezi wa Tano sio mbali.
Uzi mmeugeza unekua wa dini.....si sawaMathew 24:7
For Nation shall rise against Nation, and Kingdom against kingdom, and shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.
Kwa maana Taifa litaondoka kupigana na Taifa, na ufalme kupigana na ufalme, kutakuwa na njaa, na Matetemeko ya nchi Mahali Mahali.
Na hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Dini ndo nini?Uzi mmeugeza unekua wa dini.....si sawa
Hii yote imesababishwa na mwenye uzi kuutelekeza so wenye dini wameshika hatamu sasa πUzi mmeugeza unekua wa dini.....si sawa
ShukuraniKaribu mkuu
Tunachapa injili obvious Hadi kwenye ujasusini!Uzi mmeugeza unekua wa dini.....si sawa
Biblia yenyewe ina ujasusi mwingi ndani muleTunachapa injili obvious Hadi kwenye ujasusini!
Hapa namuona the current president of Kenya.
πππHii yote imesababishwa na mwenye uzi kuutelekeza so wenye dini wameshika hatamu sasa π
Umenikumbusha wale majasusi 12 walioenda kuichunguza kanani π€£Biblia yenyewe ina ujasusi mwingi ndani mule
Naam na hiyo hiyo biblia hapo ikamtambulisha huyo agent wa kike aliyefanikisha misheni na wakamfavorUmenikumbusha wale majasusi 12 walioenda kuichunguza kanani π€£
Biblia inasema hao majasusi waliingia kwa kahaba kama wateja japo hawakumkula ila walipewa hifadhi wakapiga kazi ya kijasusi pasipo mashaka π
Hawa ma agent wa leo hawana jipya, na Biblia inasema hakuna jipya chini ya jua, mengi yalishafanywa kitambo na kizazi tangulizi kabla ya kizazi kilichopo sasa πNaam na hiyo hiyo biblia hapo ikamtambulisha huyo agent wa kike aliyefanikisha misheni na wakamfavor
Wanaboresha tu yale yaliyokwishafanywaHawa ma agent wa leo hawana jipya, na Biblia inasema hakuna jipya chini ya jua, mengi yalishafanywa kitambo na kizazi tangulizi kabla ya kizazi kilichopo sasa π
Sio kwamba wanaboresha bali wanaiga iga tu vilivyokwisha anzishwa na wengine, wanafanya kwa sehemu yao ila hawana jipya.Wanaboresha tu yale yaliyokwishafanywa
HahahahaSio kwamba wanaboresha bali wanaiga iga tu vilivyokwisha anzishwa na wengine, wanafanya kwa sehemu yao ila hawana jipya.
Kwa mantiki hiyo mzee wa dokezo alitukosea sana,na kwa kawaida shukrani ya punda ni mateke.Omba Mungu teke lake lisikukute eneo hatarishi,vinginevyo atakupeleka paradiso wakati hafai hata kuchinjwa ili waombolezaji wapate kitoweleo.NAMBA MOJA AJAYE NCHINI asante sana mkuu kwa torch yako gizani,
Ila Eva hana shukurani,
Naweza kukubaliana na Veronica France wa 2021,
Mzee wa Dokezo nasikia aliwakatalia team late ceo kuweka mtu wao, hivyo bila ya mzee wa dokezo Eva asingekaa pale kileleni,
Halafu anakuja mtu kutoa zawadi yenye nia ovu ndani yake, hana shukurani habebeki.
Mi nadhani mawazo hayo ameyatoa kwa msaada wa kitengo cha hamas siyo ya kwake,A respect you.. Mawazo yako yako na uchungu mwingi. Japo sijajua Kanisa hili linamiliki nini na wapi?