Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,919
- 3,899
Watu wa Sodoma na Gomora waliishi na mtumishi wa Mungu nayeTutathibitisha uongo au UKWELI wake baada ya 1-20 May 2024,
Ingawa mtu makini Si sawa kusubiri kuthibitisha Ukiwa ndani ya danger zone,
Pia hulazimishwi kuuza, waeza nunua nyumba nk nk Kwa Bei Chee pale wajinga watapouza.
Je,watu wa sodoma na gomola walitumiwa mhubiri?
Mungu si mwanadamu afanye sawa sawa na wanadamu watakavyo.
Kipindi cha nuhu wapo walioangalia majira ya wakati ule,wakaona haiwezekani mvua zikanyesha hadi kuleta mafuriko ya kumeza hata milima miref
Point kubwa ya mwandishi ni kuwa mwarabu asiwekeze hapo bandarin maana kuna tetemeko linategemewaOn Tanzania kuwa sehemu takatifu naweza kukubalia. Sababu ukisoma vizuri e mipaka ya eden kutoka kwenye kitabu cha jubilee utaona Eden ilikuwa East Africa Nile ilipoanzia. Ndo maana Wazungu walibadili majina sehemu nyingi sana Africa ili kuficha hizo sehemu.
Plus east Africa zamani ilikuwa inaitwa AZANIA. Ambalo ni Hebrew name. Na TZ ndio pekee tumebaki na hili Jina.
Na Ile miaka 1000 ambayo atatawala Mkuu duniani inaonyesha kabisa ni Sub saharan Africa to be exact.
But kwenye adhabu hapo ya matetemeko kwa Dar es Salaam ndo bado sijakupata. Why God should punish us for what?
Au labda sababu machief wetu waliuza watu wake Utumwani??.
But hata west African chiefs waliuza pia.
Wazungu na waarabu wakawaua na kuwafanyisha kazi ngumu for years. Ingawa ilitabiriwa itakuwa hivyo kwenye kumb LA torati 28.
But nimeona museveni juzi anaomba msamaha kwa jinsi tulivyousika and nadhani kikwete nae aliomba pia. Au haijatosha? Nipe nyama kidogo
Sawa sawa na moja aliachiwa laana gani tena na Mjumbe hauwawi?Halafu pia mkuu!ujue hata kama Born town katumika kwenye mission Sio yeye binafsi kama yeye!!Bali wenye nchi watakua wamemshirikisha mchongo HUO!!Tumia akili anaandika kuwa the state has no feelings towards individual but Loyal to the nation!!!Pia kama Late CEO angekuwa na backing ya the state Nadhani asinge be eliminated ni kwasababu alihatarisha usalama wa jamuhuri!!!Nadhani Mzee wa Sawa sawa ali be eliminated kisa Laana ya Abdu jumbe ndio màana wenye state hawakutaka atangazwe mshindi kwa miaka mingi Sana ya ushindi wake wa chaguzi!!Pia ile dokumenti ambayo ilikuwa sealed aliopewa na mzee wa sawa sawa haikutoka kwa Born town coz asingeweza kuifanya attractive vile kum impress Mzee wa Sawa sawa bali state yenyewe!!!Mawazo huru tu hayo wala nisitiliwe shaka!!!!
Shetan hajawah kuwa Malaika ila alikuwa ni Jini aliyeketi katika kundi la Malaika. Moja kati ya sifa ya Malaika ni hawamuasi Mungu.kumbuka hata shetani alikuwa malaika lakini aliasi itakuwaje lwa binadamu. Ndiyo maana kuna watu na binadamu mmoja ni muasi.
Kwa kweli mambo ni mengi sana na hapa ndipo tunategemea tupate chochote lakini kimya cha hatari. Si rabbon, samrai, namba moja ajaye, TumainiEl wala tumia akili aliyetia neno loloteUzi umelala doro japo mambo ni mengi.
Hujamuona BT imebidi aparamie madhabahu macho yamemtoka?Kwa kweli mambo ni mengi sana na hapa ndipo tunategemea tupate chochote lakini kimya cha hatari. Si rabbon, samrai, namba moja ajaye, TumainiEl wala tumia akili aliyetia neno lolote
Bt kwa kweli hii nchi anaipeleka puta sana sijui kwanini hawamzuii wale jamaa zetu vipepeo weusi maana taifa ni kama linagawiwa kiholela sana issue ya roliondo nayo ilikuwa hot sana lakini ni kama wamasai walikosa wa kuwasemea ikabidi wachezee vitasa mpaka wakaona isiwe taabu wakaenda kutaabika msomeraHujamuona BT imebidi aparamie madhabahu macho yamemtoka?
Kumbe KP Wala hahusiki na dessert mission, mastermind ni yule yule sterling BT.
KAZI IPO!!
Ana mizizi imetapakaa kote huko ndani na nje!Bt kwa kweli hii nchi anaipeleka puta sana sijui kwanini hawamzuii wale jamaa zetu vipepeo weusi maana taifa ni kama linagawiwa kiholela sana issue ya roliondo nayo ilikuwa hot sana lakini ni kama wamasai walikosa wa kuwasemea ikabidi wachezee vitasa mpaka wakaona isiwe taabu wakaenda kutaabika msomera
Hiyo ya simba watatu nimeiona ila huyo simba rafiki wa bob junior ambaye haonekani alikoenda baada ya rafiki yake kupotezwa bado ni code inanipa shidaAna mizizi imetapakaa kote huko ndani na nje!
Pia TumainiEl ametoa thread isemayo:
TETESI: Jaribio la mwaka Dp world ni Kali zaidi kuliko Picha IPO uwanjani.
Ndani anasema dude Hilo nalo ni mtego Ili kuja kubadili mfumo wa uongozi wa chama chakavu,
Tujiandae Kwa yajayo, maana sie waonaji tunaoneshwa mabadiliko hayo hayatakuja bila nyasi kutumia yapambanapo majabali Yale.
Pitia pia Utabiri wa Simba Junior kuondolewa utawala na Simba 3 waliotokea kusikojulikana.
Mambo yamechemka.
Ila kiukweli anayekadharau haka ka familia ketu, anakosea sana, tuko vizuri kimipango!!
Naomba atokee Rais mwingine mithili ya JPM abatilishe mikataba yote ya kipu.mbavu pu.mbavu ikiwemo hiyo ya kuwaondoa Wamasai wa watu sehemu zao za asili!Bt kwa kweli hii nchi anaipeleka puta sana sijui kwanini hawamzuii wale jamaa zetu vipepeo weusi maana taifa ni kama linagawiwa kiholela sana issue ya roliondo nayo ilikuwa hot sana lakini ni kama wamasai walikosa wa kuwasemea ikabidi wachezee vitasa mpaka wakaona isiwe taabu wakaenda kutaabika msomera
Tuunge dot slowly tutajua tu.Hiyo ya simba watatu nimeiona ila huyo simba rafiki wa bob junior ambaye haonekani alikoenda baada ya rafiki yake kupotezwa bado ni code inanipa shida
Ndiye ajaye, ataletwa na dhoruba ya Bahari, njaa na Kila aina ya majanga yajayo!!Naomba atokee Rais mwingine mithili ya JPM abatilishe mikataba yote ya kipu.mbavu pu.mbavu ikiwemo hiyo ya kuwaondoa Wamasai wa watu sehemu zao za asili!
Nimeenda kusoma ule utabiri wa Tumainiel ,Ana mizizi imetapakaa kote huko ndani na nje!
Pia TumainiEl ametoa thread isemayo:
TETESI: Jaribio la mwaka Dp world ni Kali zaidi kuliko Picha IPO uwanjani.
Ndani anasema dude Hilo nalo ni mtego Ili kuja kubadili mfumo wa uongozi wa chama chakavu,
Tujiandae Kwa yajayo, maana sie waonaji tunaoneshwa mabadiliko hayo hayatakuja bila nyasi kuuumia yapambanapo majabali Yale.
Pitia pia Utabiri wa Simba Junior kuondolewa utawala na Simba 3 waliotokea kusikojulikana.
Mambo yamechemka.
Ila kiukweli anayekadharau haka ka familia ketu, anakosea sana, tuko vizuri kimipango!!