Dark days 17/03/20

Na jamaa anawaokota anazikusanya si mchezo wanajua story yake
Wajuaje kama ndo msimuliaji huku?
What if ndo kazi yake yeye kama yeye? What if wao ndo humpa mikasa wenyewe aje kusimulia? Na huwa si wajua mikasa kama hivyo huletwa kabisa purposely huku kwenye public? I never mind. Naamini anajua kbs kote watu wanapita na wanasoma. What if yeye ni kitengo pia? Kawaida sana.
 
Sawa mkuu
 
Wakazi wote waishio mji uitwao Bandari salama mmepata neema ya kujiandaa na kujiokoa na yajayo.

Litatokea tetemeko kubwa zaidi ya lililotokea Turkeyo, maji ya Bahari yatatikiswa Nchi kavu itapasuliwa na Kutokea shimo kubwa, maji yatafunika mji wote, haitasalia nyumba juu ya ardhi iliyo salama.

Wana wa Mungu wamepewa majira ya Kutokea dhahama hiyo Ili wajiandae kuhama.

Majira ni:

Tarehe (1-20).

Mwezi: APRIL -May

Mwaka: 2024.

Safety zone: Kuanzia KIBAHA, jumba la ndege.

Source: Tembelea UNYAKUO TV channel Kwa maelekezo zaidi.

NB; Wajinga watachukua hatua maana Bado muda upo, ila werevu, wajuaji, wasioamini, viburi watasubiri yatokee.

Mungu ibariki Nyikani.

AMEN.
 
Tarehe April 1st ni siku ya wajinga duniani usitutishe ebo
 
Huwa narudia sana comment hii SAMURAI!!
 
Nakukubali sana mwalimu
 
Kwa hio tuhame dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…