".....Tumekula mno maisha......"Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...
I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback
Afro shiraz party ndiyo chanzo cha weze la ayatolla. Ukichimba huko wese panachimbika na wale wazee wa sushi ndiyo chanzo cha mafuta ya johari. Very complicated, late CEO alitaka afro shiraz party mapato ya johari na wachimbe wese duh killer wapo wengi yaani unakufa kwa kudai haki yakoNamba 6; abundant natural resources.
This includes wildlife, timber, minerals, natural gas (and may be oil) etc.
Tanzania ina 55 trillion cubic feet of natural gas. Mozambique ina 100 trillion cubic feet of natural gas.
Key players in Tanzania, ni Royal Dutch Shell (huenda royal families za UK, na Uholanzi wana hisa kiasi fulani humo), Statoil (sasa Equinor, hawa ni Norway, huenda royal family ya Norway wana hisa kiasi fulani humo), ExxonMobil (hawa ni wamarekani). Puma (formerly BP, hawa ni waingereza) wana influence kwenye kuimport na kudistribute petroleum. Total (sasa TotalEnergies, hawa ni wafaransa), wanajenga bomba la mafuta kutoka Uganda. Wana import na kudistribute mafuta. Royal Dutch Shell na Puma (formerly BP) wana influence kubwa kwenye sector ya mafuta na gesi ya Nigeria.
Royal Dutch Shell wali inunua British Gas (on 15/2/2016), kwa hiyo, vitalu vyote vya gesi vya British Gas, vilivyokuwa Tanzania, sasa hivi ni vya Royal Dutch Shell.
Wajerumani walikuwa wanaimezea mate hii gesi ya Tanzania. Sasa hivi sehemu kubwa sana ya gesi ya Tanzania, iko mikononi mwa waingereza. Sidhani kama wajerumani wana kitu, labda kupitia hisa ndogo kwenye hayo makampuni mengine huko nchi za magharibi.
Waingereza waliogopa white hair atawapa gesi wenyeji au na atawapa share kubwa ya gesi wajerumani kuliko waingereza.
Late CEO alikuwa agent wa Anglo-Vatican-USA. Ali hitilafiana nao mbele ya
Hiyo ilinipita nikiwa naandaa wali wa wateja wangu mi mama ntilie
duhh sawa mkuu nimepata picha .....kwa hiyo kumbe PK siyo wa kumpuuza ni wa kuwa nae siriaz ...
Halo BT tumpe maua yake ujue PAKA angechekewa angeanza kutusumbua sumbua ka vile anavoisumbua Bukavu hakutawaliki
Kwani BT si member wa dipu stefi? Km sivyo inawezekanaje asiwe sehemu ya dipu stefi wakati amewahi kuwa CEO wa kampuni?Kabisa mkuu. Tena veri siriazi kabsaaa. Jamaa anaitamani sana hii kampuni sana huu ujio ujio wake anapiga project zake za jinsi atapapata kule BKB.
Ila dipu stefi wanataka kumuondosha BT na washirika wake, kisha afuate PK. Ila napata picha, jinsi BT alivyo na nguvu ambayo sio ya kuichukulia poa. Kwa sababu team tatu zinamuwinda yeye, ndani ya kampuni zipo mbili na nje ya kampuni moja ambayo lida ni PK.
Pia BT tukumbuke alikuwa mjeda.Kwani BT si member wa dipu stefi? Km sivyo inawezekanaje asiwe sehemu ya dipu stefi wakati amewahi kuwa CEO wa kampuni?
Nahisi ndiye bos wa dip state.Pia BT tukumbuke alikuwa mjeda.
Duh aiseeCombination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Wajerumani nchi hii hawajafanikiwa kuwekeza rasilimali nyingi ni Us Uk FrNamba 6; abundant natural resources.
This includes wildlife, timber, minerals, natural gas (and may be oil) etc.
Tanzania ina 55 trillion cubic feet of natural gas. Mozambique ina 100 trillion cubic feet of natural gas.
Key players in Tanzania, ni Royal Dutch Shell (huenda royal families za UK, na Uholanzi wana hisa kiasi fulani humo), Statoil (sasa Equinor, hawa ni Norway, huenda royal family ya Norway wana hisa kiasi fulani humo), ExxonMobil (hawa ni wamarekani). Puma (formerly BP, hawa ni waingereza) wana influence kwenye kuimport na kudistribute petroleum. Total (sasa TotalEnergies, hawa ni wafaransa), wanajenga bomba la mafuta kutoka Uganda. Wana import na kudistribute mafuta. Royal Dutch Shell na Puma (formerly BP) wana influence kubwa kwenye sector ya mafuta na gesi ya Nigeria.
Royal Dutch Shell wali inunua British Gas (on 15/2/2016), kwa hiyo, vitalu vyote vya gesi vya British Gas, vilivyokuwa Tanzania, sasa hivi ni vya Royal Dutch Shell.
Wajerumani walikuwa wanaimezea mate hii gesi ya Tanzania. Sasa hivi sehemu kubwa sana ya gesi ya Tanzania, iko mikononi mwa waingereza. Sidhani kama wajerumani wana kitu, labda kupitia hisa ndogo kwenye hayo makampuni mengine huko nchi za magharibi.
Waingereza waliogopa white hair atawapa gesi wenyeji au na atawapa share kubwa ya gesi wajerumani kuliko waingereza.
Late CEO alikuwa agent wa Anglo-Vatican-USA. Ali hitilafiana nao mbele ya safari.
Hii sio kweli, Hakuna mwanadamu ajuae siku za maisha yake.Huyo jamaa atakufa natural death !hapo alipo anajua fate ya hatma ya maisha yake hata idadi ya miaka atakayoishi!!
Dodo angekaa pale,Paka sasa hv angekua ukimbizinidodo alikuwa mwiba kwa paka unajua dodo inaonekana alikwa na connection na majeshi yote africa na duniani. Inawezekana ila ni nadharia ndogo sana kwa sababu drc wana pambana kivyao.
Ipo siku tutairudisha kwao, siyo wasanii kama hawa binadamu wengine. Wao ni kazi na maendeleo, wapo very straight bila mikunjo kunjoWajerumani nchi hii hawajafanikiwa kuwekeza rasilimali nyingi ni Us Uk Fr
Lini sasa mbona tunachelewaIpo siku titaitudisha kwao, siyo wanasanii kama hawa binadamu wengine. Wao ni kazi na maendeleo, wapo very straight bila mikunjo kunjo
Very soon, just keep your cool!Lini sasa mbona tunachelewa
Wazee wazamani wanasema mjerumani alitaka kuifanya hii nchi kuwa kama ujerumani kwa kila kitu
Bado namuona mwingireza na mmarekani wapo sana nchi hii tofauti na hapo mtifuano utakuwa ni balaaaVery soon, just keep your cool!
Mwingereza hana deal tena kashachoka mbaya...Anabebwa na mmarekani tu, hao mabwana zetu wa ukweli wapo strategic, ndani ya miaka 20 ijayo utajionea mwenyeweBado namuona mwingireza na mmarekani wapo sana nchi hii tofauti na hapo mtifuano utakuwa ni balaaa
I think kilichomuweka na kuishi long time Mzee fursa Kwa wote ni tabia ya kuwa kimya na kutoingilia awamu za watu Huwa yuko mbali, hata hyo ya marope nadhani ilikuwa kujionyesha hayuko nao pia Kwa ajili ya mwanawe.
Kilichoondoa ex CEO wa company hii ni kiherehere chao kuingilia yasiyo wahusu ka mchonga, na Mzee wa malofa
Hapa ndo namkubali BT, alimbana muhuni PK kule poli la Kimisi, Biharamuro na poli la Kibondo akawa na adabu. Lakini tukubali pamoja na mambo mengine heri ya BT ametuepusha na mpango wa HIMA EMPIRE pia, tungekoma.