View attachment 2570238
Bimkubwa analalamika wanampiga huku watu wanapita na billions of money :tuendeleee na story yetu [mention]yoga [/mention] hii weekend issiishe bure
View attachment 2570238
Bimkubwa analalamika wanampiga huku watu wanapita na billions of money :tuendeleee na story yetu [mention]yoga [/mention] hii weekend issiishe bure
Huyu mtu si ni mwajiri mkuu katika hii nchi au?
Huyu mtu vitendea kazi si vyote anavyo, vyombo vyote vya dola na mahakama si vipo chini yake au?
Kwa nini analalamika lalamika?
Anachukua hatua zipi kwa wateule wake wanaofanya ufisadi?
Natamani iwe hivyo lakini hao watu wana network kubwa nani wa kuwaweza?
Bill Clinton, George Bush, Bill Gate wote wako karibu naye, nani wa kumuweza BT?
Watu wasiwe na hofu yoyote ile, nchi ipo katika ha wanapendaaana keep.be li salama. Viongozi wakuu, wote wastaafu na waliopo madarakani huashiria jambo hilo kivitendo.View attachment 2571613