Binafsi nilikua naisubiria hii siku kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu, tokea jana na leo natembea na chaji ili kwa bahati mbaya simu isiishie chaji, nimeseti notification kwa muda wa wiki mbili, kwa sasa hivi ni saa tano, bado saa moja siku iishe, ngojea tuone.