Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.
Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.