Utabiri kuhusu simulizi ijayo.
Pengine Mr. Bon Town ameshaweka kila kitu sawa na hatimaye anapata utiifu wote wa kutosha kutoka kwa CEO wa sasa wa kampuni. Inaelekea pia ameweza kuwathibiti vijana wote wa CEO aliyepita kiasi kwamba haoni tishio lolote lile toka kwao.
Yoga shusha mzigo, kwani inaonyesha mambo ndani ya kampuni yapo shwari kwa Mr. Bon Town na vijana wake.