JF hasa katika uongozi wake washa ingia watu vilaza (myopic) ambao kwa uwazi kabisa ni mapandikizi ya serikali au taasisi nyeti lengo ikiwa ni kufunga watu midomo na mbaya zaidi hawa angalii mtu kasema nini bali kumtafuta aliye sema JF imekuwa dump and dipshit
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app