Au Bachelor II kamtisha na ile picha pale alioipost!!?
Kwamba yoga anamtumia Bodyguard yule wa kike ku post humu wakijiandalia Njia nyeupe ya aidha kukiachia kiti KWA maslahi ya kugombea tena hapo Baadae!!?
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!