Dark days 17/03/20

Anaumuhimu Gani wakati ni mwizi?Tanzania ina vijana wengi qualified watapiga kazi hatutaki wezi.
 
Hii game ni yamoto ila mzee ni dhahili amejitolea kwa lolote lile kuend up kila kitu.
 
Nitaisoma weekend
 
Tatizo lenu kubwa hamuangalii mbele future ya kampuni ni salama mikononi mwa Born town any attempt to BT will jeopardize company's reputation and stability
Wee tutoleee upuuzi wako, au umetumwaaa? Huyo Mr town hatumtaki, muhimu kwako na kwa familia yenu.

Tushachoka kufanywa shamba la bibi, khaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…