Ukienda wizara ya Maliasili na Utalii kuna jamaa anaitwa Kalamaga pale Dodoma ni Mnyarwanda kamili lakini Boss wa Kitengo Tanzania,Akipata likizo anarudi zake Rwanda anajifanya ni muhangaza toka Ngara.
Huko tandika wamejaa kibao,achilia mbali Jeshini na sehemu Nyingine nyeti.
Kitunda kuna Kanisa la kilokole mchungaji wao anafuga wahamiaji haramu toka Kenya na wanaishi fresh tu hawana hata vibali vya Siku 2 lakini wana miaka na miaka hapa Bongo.