Dark days 17/03/20

.
 

[emoji897]
 
Yaani unavyoandika utafikiri we utaishi milele, watu mbona mnahifadhi sana chuki? Mtu ameshakufa bado mnateseka nae wanini sasa! Yaani awamu ya 5 mnaichukia mnatamani muifute kabisa kwenye historia ya nchi hii!
Yes sitaishi milele.

Ila ukifanyia watu ubaya usitegemee watakaa kimya.

Kama wewe ulifanyiwa mema usiwaone wanaolalamika kama *******.
 

Ninakufuata Inbox, kama hutojali. Thanks [emoji120]
 
Mbona George Bush wa Marekani hajauawa na ameua vya kutosha Iraq?
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…