Dark days 17/03/20

[mention]yoga [/mention] yupo zake mapumziko baada ya kazi nzuri :aje amalizie story yetu ma staring wanavyo fia kwenye majani: Mungu akulinde uje umalizie story yetu tuko pamoja nawewe tunakuombea mema[mention]yoga [/mention]
 
Tembo mmesema ni nanaci pole yake na mwanae, sasa hawa kina
anonymous, unknown & Tanzanite hizi codes tusaidieni jamani hasa watu wa arachugan mnaweza kuwakumbuka hawa wa3 walioopotezwa ghafla (mini branch manager alaaniwe )
Tanzanite anaumwa toka alipojiapisha kumrudi Borntown kidogo kidogo hali ya afya yake imekuwa ikishiku kila kuchwao,jua mwishoni alikuwa swaiba wa late CEO wa kampuni.
 
nimeielewa Point yako saaana,Binafsi niliwahi kuwaza i kitu!! tusome ila tusibebe mambo km yalivyo...za kuambiwa Changanya na zako,,sombdy smwhere ni King wa Propaganda na sisi bongo tunapenda propaganda so anatupatia mdo mdo
 
Unamjaza unafikiri atashoboka na hiyo english 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…