Dark days 17/03/20

Endelea kujifariji, hujakosea.

Wengi sana wameiona Nuru ya Allah kupitia "totoz" za Kiislaam, si jipya hilo.
 
Acha kutupigia kelele na mwandiko wako huu. How mambo ya giza yapende mwanga? Nenda kasome, cheti chako feki hakilalishwi na yeyote! Kama ulifikiri yale yalikuwa mambo ya Magu tu basi mwambieni mama awarudishe na vyeti vyenu.
Acha hizo, huyo Jiwe alikuwa muuaji na mwizi, pia uraia wake na elimu vyote vilikuwa na utata. Aliyejaribu kufatilia alifyekelewa mbali. Ref Bensanane
 
Kama ualimu ni wito basi ni vyema tukawaita watawa
Hilo jina ni sahihi.
Ukiona nyuzi au comment yoyote humu kuhusu kulialia mshahara au sijui umeiingia au bado, basi jua huyo ni Mwalimu. Fuatilia nyuzi zake za nyuma utagundua
Walimu wamekua watu wa hovyo sana huku mitandaoni. Mbona madaktari au wafanyakazi wa taasisi zingine Kama Nssf, TRA, PCCB, wanajeshi, n.k hawana huu ujinga mitandaoni
 
Tafadhali tupe ahadi ya lini tour inaisha ili tupate muendelezo pamoja na current issues. Tuna kiu Dada Yoga ujue!
 
Hv hii series imefika episodes ya ngapi?
imeishia pale Branch Manager anambembeleza Late CEO ampe amjukumu ya kummaliza assistant wa Mr Culture, ndio kisa hasa ya kupewa ufupisho wa kiherehere cha Branch Manager kuwa karibu hivyo kutafuta ukuu
Huku Mama anaupiga mwingi, mambo mazuri majuu siku akirudi naona mwendelezo utaenda faster
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…