Daresalam hakuna foleni

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Na hawa watasemaje?
 

Attachments

  • 1389855224790.jpg
    73.2 KB · Views: 261
Picha hii niliiona mwaka jana tena humu humu....kilichobadilika ni kichwa cha habari apo juu.
 
Yap kuna jamaa kutoka india nlikuwa napiga nae story akawa anazungumzia foleni kwamba alichukua masaa ma3 kutoka posta hadi mbezi,nikamwambia yap siku za w/end kuna foleni sana akasema hata hvyo hakuna foleni dsm ukicompare na india tatizo la dsm hamna barabara tu sie kwetu(india) tuna barabara 4 kwenda 4 kurudi na foleni ya kufa mtu....Tatizo la kwetu barabara hatuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…