Dare to use Your own Mind

Hii ilikuwa 2013 lakini hakuna execution yoyote.
Kazi inafanyika Mkuu! Uzuri ni kwamba, Fikra hizi zi miongoni mwa wengi sana.

Ni faraja sana kukutana nazo kwa wengine, huondoa Upweke, hutia tumaini na hujenga ujasiri katika harakati.

Ziko mikono salama, msingi unajengwa. Tumaini lipo.

Anaita sasa!
 
Upo mtaalam Jinga la falsafa? Ni muda sana sijakupata !! Nina kitabu kipo kinaitwa KIU YA UZALENDO.
 
Tafadhali sana mkuu, kama una softcopy naomba ila kama ni hardcopy naomba unifahamishe namna ya kukipata.. nimepitia uzi wote na kujua kua bado nipo gizani sana.
shukrani.
 
Vyote vipo mkuu nitumie E-mail yako na mchango wako wa Tsh 5000/= Nikutumie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom