Ni vyema! Kwa kuongezea pia, nje ya somo darasani bado tunahitaji kuwa-condition watoto wetu katika mazingira ya kila siku kufikia huko tunakotaka! Wasikie kipi na kipi marufuku! Watake kipi na kipi marufuku! Waone nini na kipi marufuku! Watamke kipi na kipi marufuku! Wacheze nini na nini marufuku! Wavaaje! Kiujumla, how should they behave-ni lazima KUSUKWE hasa, kufika ukomavu wa fikra zao!
Leo hii
mashuleni na mavyuoni mwenye akili ni yule anayeweza kukariri majina mengi ya theory za watu na kuzielezea! Ndio wasomi hao! Leo, mtoto kila akifungua redio anachosikia ni matangazo ya Show za muziki, dansi, mpira, na udaku. Akifungulia TV, anachoona ni Utupu wa wasanii wetu, mambo ya faragha, umagharibi, n.k. Akisoma gazeti ni udaku udaku kila kona! Akiwa anaenda shule, tangu ndani mwao
mama yake kava kimini na dada zake viguo vya kulalia, njiani mtaani nusu uchi wamejaa kibao, had shulen mwalimu wake ameacha mpasuo! Hakuna kanuni wala sheria kuhoji hayo, eti UTANDAWAZI-UHURU! Pumbavu! Ni AJE TUTAPATA FIKARA BORA HAPO!? TUNAHITAJI KUKAA CHINI HASA! Hizi ni HESABU! Mkuu wangu
Shayu nakupata!
Mungu wetu anaita sasa!
Mkuu
JingalaFalsafa,
Umenena vyema na natumai kuwa maoni yako hayo ni katika kutaka kujenga taifa linalofikiri.
Katika maoni yako umejikita sana katika suala la maadili kulingana na mila na tamaduni zetu, na umeziweka katika mfumo wa "DO's and DONT's", kwamba kuwe kuna makatazo katika mienendo ambayo inakwenda kinyume na mila na tamaduni zetu.
Nakuunga mkono kwa asilimia zote katika suala zima la kulinda maadili kutokana na desturi zetu.
Lakini kama ni kweli tumedhamiria kujenga jamii inayofikiri ni vyema sisi kwanza tukaanza kufikiri. Kwa mfano kutokana na mchango wako huu tunaweza kujiuliza yafuatayo;
Je, namna ya mavazi, kuongea, udaku n,k n,k vinaweza kusababisha watu wasiweze kufikia ukomavu wa fikra?
Ni kweli kuna baadhi ya mila na desturi huwa zinaashiria ufinyu wa fikra katika jamii husika,
Je, umagharibi kama ulivyouita ni kikwazo katika kufikia ukomavu wa kifikra?
Mimi sio mtetezi wa umagharibi hata kidogo ila huwa ninajiuliza ni kwa nini hao wamagharibi wamepiga hatua kubwa kimaendeleo kutokana na ukomavu wa kifikra walionao, pamoja na umagharibi wao ambao sisi huku tunaupiga vita, sina nia ya kukukwaza mkuu ila tu ni katika hali ya kujaribu kufikiria.
Tunatakiwa tutafute kizingiti hasa cha ni kwa nini tunashindwa kujenga jamii inayofikiria, Migogoro ya udini kwa mfano,
ni miongoni tu mwa dalili za kuashiria jamii isiyofikiria.
Ninakubaliana na wewe kwamba kuweza kukariri majina mengi ya theory za watu na kuzielezea sio usomi, ila ni hatua moja muhimu ya kuelekea usomi.
Mtu anahitaji kuelewa mawazo ya mwingine ili kufahamu alipoanzia na alipoishia ili na wewe uendeleze pale alipoishia.
Kuna mfano wa wanafalsafa wa ugiriki ya kale( ancient Greece) waliokuwa wanaendeleza fikra za kila mmoja kila pale anapoishia(advancement of thoughts).
Their names were Thales, Anaximander and Anaximenes.
Thales who lived between 624 and 546 BC distinguished that all living things, although they differ they all have a basic similarity for each and everyone and that resemblance unites them despite of their difference.
Thales thought that what unites everything despite the difference upon them is WATER.
According to these thoughts there was a general believe in Greece that water was a source of everything.
Thales's student known as Anaximander agreed with his teacher that there must be something which is a source of everything but this thing must have no boundaries ie, it should be limitless.
Anaximander commented that, the source of everything must be limitless and he said it should not be WATER, and he just ended up like that without mentioning what is that " Limitless''.
Another philosopher, who is a student of Anaximander, Anaximenes agreed with his teacher that the source of everything must be limitless, and mentioned AIR, due to the fact that air is the fundamental unit of life in everyliving thing, and if a living thing lacks air, it dies.
Other philosophers like Democritus, Leccippus etc, discovered the source of all things to an ATOM.