darasani miaka mingiiiiiiiiiiiiiiiiiii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

darasani miaka mingiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Felixonfellix, Mar 21, 2010.

 1. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  We are shut up in schools and college recitation rooms for ten or fifteen years, and come out at last with a bellyfull of words and do not know a thing. The things taught in schools and colleges are not an education, but the means of education
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kuna umuhimu wa kusoma huku tunafanya kazi, once mtu akifikia miaka 18 there is no reason asifanye kazi huku anasoma.

  Kama wenzetu matajiri wanafanya hivi sisi masikini ni muhimu zaidi kufanya hili, hata mchonga alishawahi kulisema.
   
 3. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipenda, saa izi kama ndio nilianza kazi na miaka 18 nishajenga, naendesha Rav4 new model na nyumbani nimeacha kicorolla kimoja na Toyota Double Cabin, iache ianze iyo system watu wainjoi, vyuoni magepu kidoogo!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Mna mawazo mazuri sana ,mawazo endelevu
   
Loading...