Tetesi: Darasa la saba kufutwa, somo la maadili laanzishwa shule za msingi

Tehama haifundishwi isipokuwa shule chache sana, kwa sababu nadhani zaidi ya 75% ya shule hazina mazingira na vifaa vya kufundisha somo hilo, kwa hiyo wala usicomplain kwa hilo!!
Somo likifundishwa kuanzia sec/sch.no sawa tu!
Ni hivi mkuu,...hii si miaka ambayo bado tusubiri mtu afike sekondari ndo afunzwe TEHAMA hio ni kama tu hauitakii mema nchi hii.Kinacho takiwa kwa sasa serikali iongeze bidii kufundisha TEHAMA shule za msingi maana wakianza tangu huko itakuza ufanisi wao.Kumbuka samaki mkunje angali mbichi....
 
Ccm Itaharibu Nchi Halafu Itatumia Mabavu Kuendelea Kubaki Madarakani Tu.
Ukistaajabu Ya Mungai Utakuja Kuyaona Ya Ndalichako
 
Kuifanya elimu kama mpira wa MAKARATASI KILA MTU ANABUTUA ni jambo ambalo litaisumbua nchi kwa miaka mingi ijayo.
 
Maadili sawa.
Tehama sawa kwa mjini, kwa vijijini bado kuna changamoto mbalimbali.
 
Kufuta somo la TEHAMA sio zuri ila kufupisha muda wa kuwa shuleni ni vizuri. Tanzania tuna mzunguko mrefu wa Elimu , acha watoto wasome mpaka PhD wakiwa na umri mdogo!
Sera Mpya Ya Elimu iliyozinduliwa 2014 ianze kutekelezwa. Prof. Ndalichako hakutunga hii sera kwa hiyo asilaumiwe.
 
Unafuta TEHAMA? Maisha ya sasa hivi kila kitu unafanya online sio vyema kwa Kijana wa kisasa mpaka anafika Chuo kikuu Computer kwake ni shida hata kutumia! Hebu arudie kutathmini tena maamuzi yake!
 
Akiingia waziri mwingine ataongeza madarasa, shule ya msingi itakua hadi darasa la nane I WISH ELIMU INGETENGWA KABISA NA SIASA I WISH
 
Hilo somo lamaadili litakuwa linazungumzia nini wakat kutakuwa nasomo lauraia??
Hivi kuna haja yakuwa nasomo la maadili wakati kuna somo lauraia?

Uraia unamfanya mwanafunzi awe mzalendo wanchi yake, nirahisi kuwa jenga watoto kuwa na uzalendo lakin maadili nivigumu kwasababu maadili hujengwa kimila, ukanda, dini na kabila.

Nivigumu kutengeneza maadili mashuleni kwasababu zifuatazo:-
1-watoto hukaa muda mchache shulen ukilinganisha na mitaani, namitaani nikubovu sana.
2-watoto wanazijua RIGHTS zao walizopewa, maadili yajamii nyingi za kiafrica yanakinzana na haki zakibinadamu ie mtoto amepewa RIGHTS kama freedom of press,personal n.k...hizi ndo zinazowapa viburi wapatapo balegh kiasi chakuanza kujihusisha na maovu kwakisingizio cha UHURU.

3-medias, nyingi zinafundisha uovu, TCRA zinashindwa kutrap vipindi vizur, matokeo yake mtoto anaqngalia kila kitu.

4-watoto ni vipenzi wa macomedians, macomedians kila siku wana ACT ushoga na usagaji.

###mkifanikiwa kufundisha maadili, huku medias, wasanii/comedian, movies, wanawapiga msasa pindi watokapo shuleni###

:::::NANUSA HARUFU YA DINI MSETO::::
 
Hii ni mtekelezo wa sera ya 2014.
Niliwahi kujiuliza vitu kadha kwamba;
Ksma madawatu mshike mshike wake ni huu pia maabara zilipelekea watu kuuziwa mpaka kuku mbuzi huko perifel sasa mzingi wa darasa la kwanza mpaka ls kumi nahisi tutatembea bila viatu maans lasabu walikuwa wanafunzi wanapungua secondari zikawa chache.
Leo mtoto anaeanza lakwanza hataicha shule mpaka afike la kumi regardless ni kilaza au kipanga.
Darasa la saba limefutwa tumeserve chumba kimoja halafu tumeongeza madarasa matatu kwenye kila shule ya msingi. Vyumba vitatu vya madarasa na pia kutegemeana na mikondo nahisi awamu ya tano itachangisha michango mpaka watu waseme ebwana ndio.
Ni swala l muda tu mtanielewa ninachoongea!!
 
kuna mambo watanzania si yakuyafanyia dhihaka mfano elimu ni moja ya hayo mambo sijui nchi hii inaenda wapi toa enzi za yule jamaa wa mafinga mr Mungai hadi leo mama Ndalichako ni aibu tupu mambo yamebadilishwa chungu nzima watanzania tupo kimya na wengine ni waathirika wa haya mi naona kuna haja ya sera ya elimu kupitiwa upya hawa mawaziri wamepewa madaraka makubwa sana kiasi cha kujisahau
 
Majungu kutoka kwa wambea wa ufipa at work.

Kila siku mnaleta tetesi kuhusu utawala Wa Magufuli na mambo ambayao.

Tunaomba mtuletee na tetesi kuhusu kuondolewa uenyekiti mfalme Mbowe
Ndugu una mtindio wa ubongo?? Mbona hoja alizo toa mtoa mada hazijagusa siasa ? Inamna uccm na uchadema umakutawala hadi kukosa akili?? Hebu rudi kwenye mana ,je mfumo huu wa elimu mpya una jenga au una bomoa elimu?? Ndio hoja ya msingi sijaona maswala ya magufuli au mbowe hapo
 
Elimu ya msingi inaishia kidato cha nne, darasa moja tu ndio limeondolewa (la saba) umri wa kuandikishwa darasa la kwanza umeshushwa hadi miaka 5 kama mtoto atakuwa vizuri kwenye KKK.

Somo la tehema halijafutwa, somo la maadili na uraia limewekwa ili ku replace masomo ya dini. Pia michezo na vipaji hasa sanaa vimerudishwa.

Hayo ni baadhi ya niliyoyasikia kutoka kwa wadau wanao andaa mtaala huo mpya ambao nadhani utaanza mwakani.
 
Nmefurahi somo la urai litasaidia wengi kujua kitachoendelea hakika hii in sekta unayoiyltaji umakini mkubwa
 
Back
Top Bottom