Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
.Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
Mkulu anadai 'ukuu wa wilaya hausomewi'!
Mbona mgombea umakamu wa Rais kwa tiketi ya Chadema mwaka 2010 alikuwa darasa la saba?.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
Kigoma kazi kwenu! Tarime wamemkataa waliyepelekewa.
inaweza ikawa ni kuwadhihirishia wale wanaosema kuwa DC sio kazi ya kuwagharimu walipa kodi. Na kizuri zaidi safari hii imeeleweka zaidi kuwa ni wawakilishi wa CCM na wala sio wananchi kwa ujumla wao.Kwani kuna kazi gani ya kumshinda darasa la saba. Hiyo kazi ataiweza. Sijui in job description?
kweli kabisa...hata hivyo hao wenye degree na ma phd na ma doctor wametusaidia nini .....mkuu wa wilaya hana kazi yoyote ya kupiga hesabu hata gari haruhusiwi kuendesha hana haja hata ya kujua alama za barabarani zilizoandikwa stop au high hills ni kazi ya dereva na ofisini anasaidiwa na katibu muhutasi....wacha wafaidi muda wao karibu unaisha ...katiba na cdm 2015Kwani kuna kazi gani ya kumshinda darasa la saba. Hiyo kazi ataiweza. Sijui in job description?
Mkuu thats true,na nipo ofisi na jamaa angu mmoja hapa anasema huyu bwana anamjua tokea kitambo hapo Bagamoyo kuwa hana lolote na hana ujenzi wa hoja zaidi ya ubabe,ngoja tumcheki atakuja na kasi gani hapa Kigoma ila mwenzie Mongella ndio alikua anapga siasa sana hapa namna ya kuilinda hii ccm,nashukuru alikoenda Arusha watamtia adabu na ubabe wake huo.Ndo maana amepelekwa KIGOMA,,,,,NO CHALLENGES OVA THERE