Darasa la kupigilia pamba kijanja

Nashindwa Nivae vipi wakati wa kutoka out, kutokana na mavazi niliyochagua, ushauri naomba



Wapendwa habari zenu, Nimegundua kuwa sipendezi kabisa kuvaa suruali na sketi fupi na magauni ya kubana kutokana na mwili wangu ,baada ya kugundua hili ninacomfidance ya kuvaa nguo za kumwaga, lakini ninapata wakati mgumu , kutoka out nashindwa nivae nguo gani ili nisionekane Kama naenda kanisani au msikitini ,ushauri wenu ,pia ikiwezekana wenye picha tumeni aina ya nguo ambazo nahis naweza vaa kwa nyakati nilizotaja.

Napokea ushauri
 
Una dini ngapi msikitin au kanisani? Mi napenda nguo fupi naona napendeza tu .

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Ukitoka out kama ni mazingira ya joto unaweza piga, pensi isiwe short sana na ya kubana, juu ukapia tishert na ukamalizia na raba simple, kuhusu rangi, inategemea na rangi ya ngozi yako.
 
Mwenye kujua chimbo nitapta mnyama converse all stars pure org aseme sasa hapatufanye kazi pia mwenye suruali brand ya dickies au kaptula aseme
 
Hilo
Hilo jamaa la kizungu namba moja hapo ndo linajua mambo sasa. Limepiga kachumbari ya kufa mtu. Kudaadeki
 
Kuvaa kwa mtindo ni muhimu ili watu wengine waweze kuelewa kuwa wewe si mtu wa kawaida. Kwa ujumla, kuwa waaminifu juu ya kuonekana. Watu huweka umuhimu sana kwa hili. Mtu aliyezaliwa alikuwa uchi, hakuhitaji nguo. Yote yanawekwa na jamii. Katika utoto, hatufikiri juu ya nguo, pesa, madawa ya kulevya, pombe. Yote haya yalitoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…