Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Hakuna darasa hapo!!! Kuwa kiongozi aina maana wewe ni mungu mtu. makonda hakufuata sheria. Huwezi kumweka mtu ndani eti kw vile umebishana naye!!! Tuko tofauti lazima tutofautiane mawazo. Tutabishana mwisho aliye sahihi hushinda. kubishana ni "healthy". asiyetaka kubishiwa ni dictator!!! Enzi hizo zimeisha!!!! Kubenea hajavunja sheria yoyote.
 
Nakububaliana na kubenea mAkonda ni kibaka na muhuni
 

Asante Kwa kuwaelewesha.
 

Tofautisha kati ya kubishana na kutukana. Kubenea alikua anatukana habishani
 

Baada ya kumkosoa akajaribu ku edit post yake.....Makonda ni agent wa Masaburi
 
Nyumbu watabaki kuwa nyumbu tu. Hongera mkuu, labda sasa wataelewa.
 
Wabunge wanapaswa kuheshimu muhimili mingine ya na sio kujiona wao ndio kila kitu, vurugu zao ni ndani ya bunge huku nje wafate sheria na taratoibu za nchi
nje ya bunge ni utawala ukileta kiburi na dharau tupa lupango. ubunge sio gazeti mwanahalisi ni uwakilishi. sasa kimbelembele unaingilia kazi za watu na kuleta matusi..weeeeh!!!
 
Mi nimejifunza kitu kimoja, mtu akijua kuongeeeeeea sio kwamba ndio atakua good leader, Some people are born to be a leader while others are created, na hapo ndipo panapo changanya. Maaan Kubenea yy tayar kaftk pale na kachoose side, na wakat kiongoz hutakiw kuwa na sides hta km unafaham nani anakosa, na zaid sio katika kipindi km kile ambacho wananchi wanafanya fujo!! Kuwa kiongoz, busara ni muhim, na hapo nasikitika kukwambia Mbunge wangu busara huna.
Angalizo la mwisho, Mh, tunaomba wabunge wapewe crash program, kuhusiana na Leadership, maaan ni aibu, mbungeee unamtukana mkuuu wa wilaya wakat unaishi ktk wilaya yake?!!!!Seriously Kubenea??!??! Umenivunja moyo!!!!
 
Gavana wa marekani hafanani na mkuu wa wilaya hata kidogo..acha upuuzi ndugu yangu
 

Kwa jinsi ninavyimjua Makonda ni lazima kuna jambo la kipuuzi atakuwa amelifanya hadi kumuudhi Kubenea.Unajua Makonda is nobody ktk nchi hii,amshukuru Kikwete kwa kumbeba.Kubenea anafahamika kwa kalamu yake iliyofichua ufisadi mwingi ndani ya nchi hii,sasa kumwona nobody like Makonda trying to steal a show through his wicked tricks as he always does really drove him mad.Makonda is just a nobody and will always be.
 
Comrade mwongozo junior, nimesoma aya ya kwanza tu na nikaghairi kuendelea maana imebeba hitimisho lililojaa makosa na upotofu. Inasema "
Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya."

Kwa mujibu wa katiba na sharia zetu, Rais hayuko juu ya Mahakama wala Bunge. Na kimsingi bunge is the Supreme organ of the government as it can put into question the decisions, actions and practice of the other two organs and if needs be change or enact the law to control them.
 
Last edited by a moderator:
Kubwnea ni mpuuzi mmoja ambae anepanda juu ya mgogo wa mageuzi na kupata ubunge,hana anachojua na wala hatawasaidia lolote wananchi wa ubungo na ifikapo 2020 watampiga chini
 
If I have authority I will not be afraid, I will let him speak!
 

Sijasema kuwa rais Yuko Juu ya mahakama na bunge. Nimetumia neno msimamizi. Japo tuna bunge na mahakama, dhamana ya uendeshaji nchi kiutendaji imepewa executive ambaye n Rais na wasaidizi wake.
 
Last edited by a moderator:

umemjibu sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…