Mkuu samahani, kupitia hiyo naweza kuondoa hiyo Administration password au kuinstall apps pasipo kuweka hiyo Administration password?Kwenye konboot pia Kuna feature inaitwa passwordless login. Ukichgua hiyo feature utaweza kuingia kwenye computer yenye password bila kutumia password yyt.
Ila ukizima na kuwasha tena ndio itadai. Unatumia hyo feature km hutak kubadili password
Shusha nondo zaidi mkuuHakuba haja ya kupiga windows, ukiwa na konboot password unaiondoa ndan ya dk 1 tu mkuu
Labda niulize, naamin una account kwenye hyo PC, how do u access ur account on that PC? Hebu toa mfano wa jina lolote kwa namna ya unavoingiza jina lako kwenye hyo PC. Not a real name ,just any nameMkuu samahani, kupitia hiyo naweza kuondoa hiyo Administration password au kuinstall apps pasipo kuweka hiyo Administration password?
Mkuu, natumia jina hilihili Iglesias, naweka password yangu nalog in, ila ikifka lile eneo la kuweka password kuna Account mbili, ya Iglesias na administration.Labda niulize, naamin una account kwenye hyo PC, how do u access ur account on that PC? Hebu toa mfano wa jina lolote kwa namna ya unavoingiza jina lako kwenye hyo PC. Not a real name ,just any name
Je kwa kutumia hiyo account yako (username and password) je unaweza kulogin kwenye computer nyngne yoyote ofisin kwenu (tofaut na hiyo unayotumia sasa) na ikakubal kifunguka.?Mkuu, natumia jina hilihili Iglesias, naweka password yangu nalog in, ila ikifka lile eneo la kuweka password kuna Account mbili, ya Iglesias na administration.
Nalog in kwa Account ya Iglesias.
Karibu mkuu
Sawa chief karibu sanaAsante saaana kwa darasa.
Asante MkuuHongera sana mdau. Mungu akuzidishie ujuzi zaidi na moyo wa kujitoa kama huu
So hapo issues ni kwamba wewe una access hiyo Pc kama Guest Sio Admin,Mkuu, natumia jina hilihili Iglesias, naweka password yangu nalog in, ila ikifka lile eneo la kuweka password kuna Account mbili, ya Iglesias na administration.
Nalog in kwa Account ya Iglesias.
Hii pc ninayo nyumbani mkuu, nimeshahama huko ofisini.Je kwa kutumia hiyo account yako (username and password) je unaweza kulogin kwenye computer nyngne yoyote ofisin kwenu (tofaut na hiyo unayotumia sasa) na ikakubal kifunguka.?
I Hope Nishakupatia Jibu Hapo Juu, Jamaa Amekuuliza Hivyo Amewaza Kuwa Upo Connected Kwenye LAN Na Hiyo Password Imesetiwa Kwenye Servers.Hii pc ninayo nyumbani mkuu, nimeshahama huko ofisini.
Asant MkuuSOMETHING IGOT BE BLESSED
Inawezekana kabisa Mkuu, nini kifanyike?I Hope Nishakupatia Jibu Hapo Juu, Jamaa Amekuuliza Hivyo Amewaza Kuwa Upo Connected Kwenye LAN Na Hiyo Password Imesetiwa Kwenye Servers.