NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
DARASA HURU - JOSE MTAMBO
Chorus..
Darasa huru mambo sio safi gheto/
Shika lako, shika na la mwalimu/
Ujashikwa mikono , ujashikwa miguu/
Akili nywere kila mtu anazo zake.....
Verse...2.
Je? umechangua kibonge kama wacheza Sumo
Aina noma hata kama we FIdodido imo.!!
Usisahau nzito akiwa juu itakua Duu..!!
Ya maralia labda uwe umepania/
Pamba isimkatae usisite kumsifu/
Mwambie akipungua atakuwa nzinga la model sifu/
Sugar mumy Poa..!!
Utoto Toa..!!
Dera akitangulia Asubuhi, Usiku unang'oa/
Utakunywa nini..? Sema Champagne Au sema Red wine 🍷/
Sema Originally ya kutoka Parise/
Kunywa pombe badili lugha ungea ung'eng'e
Kingereza Kwasababu uwezi maneno Meza/
Hi inaitwa broken
Na Ongea usichoke/
Si umelewa poa tu wala usishituke/
Me ni mwalimu na ndio kwanza nimehitimu/
PHD Darasa langu Adimu/
Kama dem wako mfupi watoe kasoro warefu/
Msifie nywere , msifie guu Dance juu/
Usingeuke Nyuma hata kama mrefu Amekukuna koshoto, kulia mbele tembea/
Hapo umekombea dem akikukataa akuzimii usimtukane /
Kama Yenye sister Du! Kua brother Du! We uone /
Ringa kudogo toa majojo ya Bubble gum/
Akila kichwa then narahisisha narekebisha/
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA AMBAYE HUJAOA...
Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako".
Na Mimi nasema ujana Ndio maisha yenyewe ambayo mtu huishi kwa faida..
Sikiliza Darasa huru kutoka kwa jose mtambo amejaribu kukupa style wewe mwanaume mwezangu namna ya kumpata mwanamke na kuishi nae ..