Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyalu ft nature.. Nampenda... Bonge moja la chorusNipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mchezo hii hapa ndio utamjua Nature nani
Radhia-Dolo, Mambo ya Pwani-Solo, Kulwa na Dotto-Soggy, Kamua baba-GWM,Bila Sanaa-Imam Abbas, Naja-Squizer, Agwelina, etc. Nature the best chorus killer of all time
Q Chief aliua sana Kama Unataka Demu,Ikaja Tena Kwenye Mpiga Debe Daaa Unga Noma Sana unapoteza Vipaji.Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpiga debe nilidhani kaimba demu, sauti nyororo kama voice wonderQ Chief aliua sana Kama Unataka Demu,Ikaja Tena Kwenye Mpiga Debe Daaa Unga Noma Sana unapoteza Vipaji.
Yule Mjinga alikua noma sana kwenye Chorus. Dully nae alikua vizuri ila Q alikua ni kwere.Q Chief aliua sana Kama Unataka Demu,Ikaja Tena Kwenye Mpiga Debe Daaa Unga Noma Sana unapoteza Vipaji.
Kapokeza kijiti kwa wengine ,mda(wakati) ni noma sana!!Yule Mjinga alikua noma sana kwenye Chorus. Dully nae alikua vizuri ila Q alikua ni kwere.
Ama kweli hakuna marefu yasiyokua na ncha