Darasa Huru (DULLY SYKES) Vs Kama Unataka Demu (Q Chief) nani aliumiza zaidi kwenye chorus?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,788
15,682
Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darasa Huru ni shida ingine ile aseeee, Dully ameimba utafikiri koo lake anakunywa mafuta ya korie
 
Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyalu ft nature.. Nampenda... Bonge moja la chorus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoulizia hizi ngoma waende jukwaa la entertainment kuna Uzi wa nyimbo.
 
Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Q Chief aliua sana Kama Unataka Demu,Ikaja Tena Kwenye Mpiga Debe Daaa Unga Noma Sana unapoteza Vipaji.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom