King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,418
- 88,734
Ngada vipi kaacha?
Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
Darassa tuko pamoja.. wale wa nyegezi wameishi ebu shika media sasa.
Naona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngadaBora arudi jamaa!
Katika miaka hii 4-5 hakuna wimbo uliohit kama muziki




Mjipange sana jamaa ndio hivyo karudiNaona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngada
Tutawakimbiza hadi mnye mavi machanga
Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza.
Watu kibao wanashangilia ujio wake.
Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa.
View attachment 962299
Hakuna mteja aliyerudi kwenye game akaendelea kuhit kama zamani,achana na wakati,wapi Ray C,wapi Chid,wapi chillah,wapi TID wapi Lord eyes? anyway ngoja tumpe faida ya mashakaUkimya wa Darasa unaweza kuwa ni fursa kwake kupewa sikio na wananchi, lakini unaweza pia kuwa ndio kabuli lake kwenye muziki.... Inategemea na ukubwa wa wimbo atakao kuja nao.
Tulia bi'mkubwa darasa akupe maarifa... punguza nyegezi zako.Naona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngada
Tutawakimbiza hadi mnye mavi machanga