BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,837 Dec 10, 2018 #1 Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza. Watu kibao wanashangilia ujio wake. Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa.
Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza. Watu kibao wanashangilia ujio wake. Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa.
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,273 Reaction score 14,524 Dec 10, 2018 #2 Sawa mkuu
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,639 Dec 10, 2018 #3 sawa
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,789 Dec 10, 2018 #4 wewe umeimba nyimbo gani
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Dec 10, 2018 #5 2016 tulifunga mwaka na Darasa. Afanye mambo basi.
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,692 Dec 10, 2018 #6 Ukimya wa Darasa unaweza kuwa ni fursa kwake kupewa sikio na wananchi, lakini unaweza pia kuwa ndio kabuli lake kwenye muziki.... Inategemea na ukubwa wa wimbo atakao kuja nao.
Ukimya wa Darasa unaweza kuwa ni fursa kwake kupewa sikio na wananchi, lakini unaweza pia kuwa ndio kabuli lake kwenye muziki.... Inategemea na ukubwa wa wimbo atakao kuja nao.
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,767 Dec 10, 2018 #7 Sky Eclat said: 2016 tulifunga mwaka na Darasa. Afanye mambo basi. Click to expand... Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
Sky Eclat said: 2016 tulifunga mwaka na Darasa. Afanye mambo basi. Click to expand... Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,912 Dec 10, 2018 #8 MSAGA SUMU said: Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani Click to expand... Haishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe.
MSAGA SUMU said: Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani Click to expand... Haishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe.
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,767 Dec 10, 2018 #9 Mkaruka said: Haishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe. Click to expand... Jiwe anajua dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao,anawakimbiza
Mkaruka said: Haishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe. Click to expand... Jiwe anajua dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao,anawakimbiza
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,755 Dec 10, 2018 #10 amerudi?... kwani alienda wapi?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Dec 10, 2018 #11 MSAGA SUMU said: Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani Click to expand... Amerudi mida ya wanga 😂
MSAGA SUMU said: Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani Click to expand... Amerudi mida ya wanga 😂
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,767 Dec 10, 2018 #12 Sky Eclat said: Amerudi mida ya wanga 😂 Click to expand... ahhha hhahha na aliwahi kusema mwenyewe
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Dec 10, 2018 #13 Alishindwa ku meintain standard kesha pitwa na wakati watu wamemsahau
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Dec 10, 2018 #14 Darassa tuko pamoja.. wale wa nyegezi wameishi ebu shika media sasa.
Sonia G JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 3,081 Reaction score 3,940 Dec 10, 2018 #15 Tunangoja
masoud mshahara JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 4,712 Reaction score 2,010 Dec 10, 2018 #16 BABA TUPAC said: Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza. Watu kibao wanashangilia ujio wake. Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa. View attachment 962299 Click to expand... Kumantain ni kazi kubwa , sasa ngoja tuone kama kimya chake kina mshindo?
BABA TUPAC said: Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza. Watu kibao wanashangilia ujio wake. Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa. View attachment 962299 Click to expand... Kumantain ni kazi kubwa , sasa ngoja tuone kama kimya chake kina mshindo?
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,372 Reaction score 1,205 Dec 10, 2018 #17 A mult billion dollar question, alikua wapi?
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Dec 10, 2018 #18 Mr.genius said: A mult billion dollar question, alikua wapi? Click to expand... Alikuwa Kiwalani
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Dec 10, 2018 #19 ras jeff kapita said: Alishindwa ku meintain standard kesha pitwa na wakati watu wamemsahau Click to expand... Watu gani?! Kama wewe umemkumbuka kwanini wengine washindwe?!
ras jeff kapita said: Alishindwa ku meintain standard kesha pitwa na wakati watu wamemsahau Click to expand... Watu gani?! Kama wewe umemkumbuka kwanini wengine washindwe?!
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,277 Reaction score 9,443 Dec 10, 2018 #20 Mkuu we ni nani??