Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Tatizo kila kitu tunaona tumepigwa, likijengwa daraja la bei rahisi halafu baada ya miaka miwili likakatika watu wakaumia au kufariki si mtalaumu tu?
Wewe Sasa ndio msomi sio watu wanaobisha bila factsMkuu why tujaribu kuchora BOQ tuone wametumia nini na nini ndio tutajua gharama ila 158 haifiki 158 unajenga nyumba mzuri kabisa masta...
Material ganiMaterials cost 50 million
Upembuzi yakinifu 10 million
Posho za engineers na technician tufanye 20 million
Zinazobaki usiulize tumezinywa ulitaka hela ya kunywa tuitolee wapi