Lindi.Mnaz m1 kwenda masasi. Eneo gani hapo?
Kipande gani kabla hujafika Nanganga au mbele,maana kuna jamaa yangu anaenda Ruangwa si atakwama hapo ?????Lindi.
Sina uhakika ni daraja lipi ila kama ni njia ya masasi na ni karibu na mnazi mmoja, kwa vyovyote mtu anaeenda Ruangwa atakwama.Kipande gani kabla hujafika Nanganga au mbele,maana kuna jamaa yangu anaenda Ruangwa si atakwama hapo ?????
Mbunge wa hapo si ndio huyu vuvuzela la ccm a.k.a ni waziri wa akina Samatta, na DIAMOND nadhani atakuwa amesikia.Sina uhakika ni daraja lipi ila kama ni njia ya masasi na ni karibu na mnazi mmoja, kwa vyovyote mtu anaeenda Ruangwa atakwama.
Hilo daraja lipo chini ya kiwango utafikiri barabara za mitaani kumbe ni barabara kuu.