Daraja lilioanza kujengwa mwaka 2009, limekamilika..

Daraja lilioanza kujengwa mwaka 2009, limekamilika..

Noma sana wanafanya siasa safi yaani yamejali elimu na watu wake.
 
Kila jambo na historia yake
Tafuta historia ya Hong Kong kwanza, na soma historia ya China juu ya Hong Kong, kama ni ngum kwako basi endelea kuangalia picha za uzinduzi na kufurah.

Dunian kunamengi sana na sio lazima kuyajua yote
Historian peleka jukwaa la historia. Hapa taarifa daraja limekamilika, au unafikiri mtoa mada hajui historia?! Bas kama vipi anzisha Uzi wa historia ya hilo daraja.
 
MAGUFULI AKISIKIA HII ATASEMA... 'huu ni uharibiu wa pesa. mimi ningejenge daraja lenye urefu huo kwa miaka miwili tuu na ningetumia trilioni 1.5 tuu..." sasa baada ya ujenzi huu wa magufuli kukamilika hilo daraja ikipita hata toyota rav4 expansion joints zingeanza kuonekana😀😀😀😀
 
Na Tanzania ipo mbioni kufanya kama hivi pale Ziwa Victoria kutoka Busisi kwenda Sengerema nadhan
 
Kwa Injinia Mchumi Mwanasheria Mhasibu Mkemia Daktari Rais Waziri wa Yote John Pombe Joseph Magufuli, ujenzi wa daraja kama hilo ungetumia miaka 2 tu. Yaani kilomita 50 tu, miaka 9? Wachina wapo slow kweli. Waje wajifunze jinsi ujenzi unavyofanywa kwa [HASHTAG]#hapakasitu[/HASHTAG]

Sasa ndugu utalinganisha barabara za kawaida na zinazopita juu ya bahari!!! Ebu pitia barabara walizojenga hao hao wachina wenye akili nyingi tofauti na zet uone zimechukua mda gani, tena za kiwango hali juu ukilinganisha na zetu.

Hilo daraja Kama ni bongo lingechukua miaka 30.

La kigamboni limechukua muda gani???
 
Hujaelewa point yangu ya msingi. Rudia tena kusoma, ukiwa sober. Kama hutoelewa tena, niambie nikueleweshe.
 
Historian peleka jukwaa la historia. Hapa taarifa daraja limekamilika, au unafikiri mtoa mada hajui historia?! Bas kama vipi anzisha Uzi wa historia ya hilo daraja.

Sio lazima usome kila unacho kiona, chagua uvipendavyo na hili ni jukwaa huru

Kuelimika ni kustarabika

Usisome tuu comments zangu itakupa aman na kukutunzia muda wako
 
Hongera zao. Hivi lile la Misri na Saudi Arabia limefikia wapi
mkuu hawa jamaa wana juwa kucheza na maji sana hilo daraja kuna sehemu limepita chini ya maji nadhani ili kuacha nafasi ya mepi kupita ! Bongo bahati mbaya!
 
Back
Top Bottom