Daraja lilioanza kujengwa mwaka 2009, limekamilika..

Daraja lilioanza kujengwa mwaka 2009, limekamilika..

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Daraja la Hong Kong-Macao- Zhuai lililopo nchini China ndilo linasadikika kuwa daraja refu zaidi duniani katika madaraja yote yaliyotengenezwa katika eneo la bahari.

Daraja hili lenye urefu wa kilomita takribani 50 (49968 metres), lilianza kujengwa Desemba 2009 na matumizi yake ya majaribio yataanza mwezi Mei au Juni mwaka huu (2018)

Gharama za ujenzi wake unakadiriwa kufikia Yuan Bilioni 100 (ambazo ni sawa na trilioni 35.6 za kitanzania)

======
1.jpg
2.jpeg
3.jpeg

HK$120 bn Hong Kong-Zhuhai-Macau bridge to open in May or June - state media | Hong Kong Free Press HKFP

The multi-billion dollar Hong Kong-Zhuhai-Macau bridge is set to open to traffic in May or June, Chinese state media reported on Monday.

China Daily cited anonymous sources as saying that the HK$120 billion megabridge’s exact opening date will depend on the progress of constructing checkpoint facilities and negotiating policies.

The bridge project – construction of which commenced in 2009 – has been plagued by over-spending, delays, deadly accidents involving workers, instances of hacking, and falsified test results.

Hong Kong Chief Executive Carrie Lam, Chinese President Xi Jinping, and Hong Kong Secretary for Transport and Housing Frank Chan visiting the bridge in July. Photo: GovHK.

Of the three jurisdictions involved in the project, Macau was the fastest in constructing checkpoint facilities. Macau’s facility buildings were all electrified by December, reported the news outlet.

Policies to be negotiated in due course relate to emergency rescue operations and the movement of staff and vehicles across jurisdictions.

Construction of the 55-kilometre-long bridge itself was completed as per schedule on December 31, state news agency Xinhua earlier reported.

Officials have said that the bridge will allow for Hong Kong, Macau and neighbouring Guangdong province to all be within one hour’s commute of each other.

Source: HK$120 bn Hong Kong-Zhuhai-Macau bridge to open in May or June - state media | Hong Kong Free Press HKFP
 
Wachina wanajua kucheza na unafki wa nchi za ulaya juu ya Hong Kong, ndeo maana anafanya uwekezaji mkubwa sana ktk mji wa Shenzhen ambao upo jiran sana na Hong Kong ndio maana kajenga na daraja hilo. Zamam watu wa Hong Kong walikuwa wanataka zaid kujitenga maana kiuchumi na miundombinu walikuwa mbali sana kuliko China, ila sasa wanaona umuhim wa China na wamepunguza chokochoko, japo had sasa meeting point ya investors ni Hong Kong kitokana na sera zao za free tariff, ila soko ni dogo lazima wajipanue zaid na China ameandaa miji ambayo itakuwa free tariff or less kwa Shanghai na Shenzhen. Had sasa Shanghai amisha azisha free trade zote
Hawa ni hatar kwa jicho na mawazo yangu
 
We kila kitu siasa na unazi tu!! Sasa nchi za magharibi zinaingiaje wakati hii ni taarifa tu kwamba daraja limekamilika!!
 
Kwa Injinia Mchumi Mwanasheria Mhasibu Mkemia Daktari Rais Waziri wa Yote John Pombe Joseph Magufuli, ujenzi wa daraja kama hilo ungetumia miaka 2 tu. Yaani kilomita 50 tu, miaka 9? Wachina wapo slow kweli. Waje wajifunze jinsi ujenzi unavyofanywa kwa [HASHTAG]#hapakasitu[/HASHTAG]
 
We kila kitu siasa na unazi tu!! Sasa nchi za magharibi zinaingiaje wakati hii ni taarifa tu kwamba daraja limekamilika!!

Kila jambo na historia yake
Tafuta historia ya Hong Kong kwanza, na soma historia ya China juu ya Hong Kong, kama ni ngum kwako basi endelea kuangalia picha za uzinduzi na kufurah.

Dunian kunamengi sana na sio lazima kuyajua yote
 
Hivi lile la kigamboni ni km ngapi na liligharimu sh ngapi? Tulinganishe gharama za ujenzi.
 
Kwa Injinia Mchumi Mwanasheria Mhasibu Mkemia Daktari Rais Waziri wa Yote John Pombe Joseph Magufuli, ujenzi wa daraja kama hilo ungetumia miaka 2 tu. Yaani kilomita 50 tu, miaka 9? Wachina wapo slow kweli. Waje wajifunze jinsi ujenzi unavyofanywa kwa [HASHTAG]#hapakasitu[/HASHTAG]
Hujaweka na gharama, ingejengwa kwa nusu gharama Au robo kabisaaaa
 
Back
Top Bottom