[h=2]WHEN WILL WE REACH THEM: CHINA'S JIAOZHOU BAY BRIDGE…!!!Posted by Blog Team on July 1st, 2011[/h]
A sign that reads: "Shandong Highway Corp. invests to operate Shandong Highway Jiaozhou Bay Bridge" is seen at Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 27, 2011.The world's longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday, June 30, 2011. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Picture taken June 27, 2011.A band plays during the opening ceremony of the Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 30, 2011.The world's longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Qingdao Jiaozhou Bay Bridge is seen in Qingdao, Shandong province, in this general view taken June 27, 2011. This photo taken Wednesday, June 29, 2011 released by China's Xinhua news agency shows the Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, east China's Shandong Province. China opened Thursday, June 30, 2011, the world's longest cross-sea bridge, which is 42 kilometers (26 miles) long and links China's eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao.
duh, hawa wachina wanatisha jamani, mwaka jana kwenye shanghai expo nilitembelea daraja refu sana lililoko shanghai. daraja lile linaingia baharini kiasi kwamba linaenda hadi zaidi ya upeo wa macho! wakati ule wenyeji wangu waliniambia kuwa ndilo daraja refu kuliko yote duniani! kwangu ilikuwa ni maajabu makubwa kushuhudia katika sekta ya miundombinu, pia kuna shanghai financial centre ina majengo marefu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani! sasa kwa hili la qingdao, hakika hapa wamekufuru kabisa!! hongera zao wenye akili, sie na magamba yetu??!! Nakubaliana na wewe kabisa mwaka 2006 nilikuja shanghai na jengo refu kuliko yote lilikua jinmao tower 88 floors, mwaka 2010 nilikuta mini mwingine shanghai world financial center SWFC floor 100, sass hivi pembeni maw haya make go mawili kuna mini mkali unajengwa unakamilika 2014 unaitwa shanghai tower, ndani ya miaka michache watt hawa wanaweza kulibadilisha eneo na usilijue, wakati wanaadhimisha miaka 30 ya reforms walizofanya, yaani kufungua milango ya nchi Yao kwa ulimwengu, kuna watt wanaofanya kazi mijini walihadithia waliporudi majumbani mwao vijijini walishindwa kuamini macho Yao na walidhani wamepotea njia, maana mambo yamebadilika hata vijijini watu wanaishi katika villaKaribu shanghaina juzi juzi wamezindua treni ya Mwendo kasi iliypunguza muda wa safari kufika masaa kumi mpka matatu shanghai mpka beijng
Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli
Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli