Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Giddy Mangi, Nov 22, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lori la Mkaa Usiku wa saa nane liligonga daraja na kuzuia magari yanayopita daraja hilo kukwama tokea iyo usiku muda huu.Source Clouds'BONGE
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Sasa kuna uhusiano gani kati ya hii taarifa na siasa? Ili si jukwaa la siasa?
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  duh!))))))))))
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  bange zingine bana
   
 5. kajukeg

  kajukeg Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx for the inf,but hapa si mahala pake.
   
 6. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pole zao kwa wasafiri waliokwama.
   
 7. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wewe Kiazi elewa kuna zaidi ya Watanzania 2000,pale wamekwama kuendelea na safari,Waliokuwa wanakwenda Kuzika Kaskazini wamekwama na Miili ya marehemu wao pale wewe unatumia Masaburi yako tuu.
   
 8. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mahali pake ni kwenye Masaburi yako.UKIKOSA BIDHAA MUHIMU TOKEA KASKAZINI NA KASKAZINI LEO HAWANA MAGAZETI Ndio mahali pake?KICHWA KAMA KIKWETE
   
 9. v

  valid statement JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  HUNA BUSARA.
  Umeshaleta habari, inatosha. Acha kujibizana.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa si washushe hayo majeneza wazike haoo wami mbona mapori kibao..na nyie mmezidi kupenda kuzika moshi ndo mkome sasa leo
   
Loading...