barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,729
Za asubuhi!
Nimetoka Kimara sasa na niko katika mabasi yaendayo kasi kuelekea Kivukoni. Kabla ya yote, nimepitia vituo vya mwisho vyote na Kimara kwa kweli kuna nyomi. Yaani utadhani watu wanaingia uwanja wa taifa kuangalia mpira, hawaishi na ni wengi sana!
Hata hivyo kero yangu ni hili daraja, yaani unalazimishwa kutembea kama sio kilometa moja na ushee sijui, panda daraja kisha shuka daraja alafu watu ni mwendo wa kasi nao yaani utadhani kwenye gwaride, duh! Yaani mnakata kata mikona, ni parefu, kero sana hii kwangu!