Ulongoni A ni Moshi au wapi bwashee?!Wakati wa mvua kubwa kunyesha .Daraja la Ulongoni A limekatika na kuua mzee moja aliyebeba mzigo mgongoni akijaribu kuvuka. Tunaomba Serikali ya CCM itusaidie kulijenga kwani diwani wetu ni wa CHADEMA !!
Wakati wa mvua kubwa kunyesha .Daraja la Ulongoni A limekatika na kuua mzee moja aliyebeba mzigo mgongoni akijaribu kuvuka. Tunaomba Serikali ya CCM itusaidie kulijenga kwani diwani wetu ni wa CHADEMA !!
Ahsante sana nafikiri we ndo mkurugenzi atakayetukoa .Ulongoni A iko Goms Dar es salaam ipo kati ya Goms na KinyereziKama mlichagua chadema imekula kwenu. Jichangeni mtengeneze wenyewe. Hii nchi kwa sasa ni mali ya ccm na wanaccm. Kodi zenyewe wanakusanya za ccm tu. Wakikusanya kodi kwenu ujue wanafanya kujazia jazia tu
Au waunge mkono juhudi chaap ili jamaa awajengee darajaPoleni,ila hapo daraja mtasubiri sana maana huyu bwana yeye akisikia hicho Chama hana hamu nanyie tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndizo akili za mwafrika halisi!!!Kama mlichagua chadema imekula kwenu. Jichangeni mtengeneze wenyewe. Hii nchi kwa sasa ni mali ya ccm na wanaccm. Kodi zenyewe wanakusanya za ccm tu. Wakikusanya kodi kwenu ujue wanafanya kujazia jazia tu
Mkuu unanionea bure. Nimewakilisha mawazo ya watawala (ccm). Kwani wewe huwasikii wanayohubiri na kutenda wakiwa majukwaani?Hizi ndizo akili za mwafrika halisi!!!
Hahaaaa!! Sorry mkuu!! Kwani wanatia hasira kweli utadhani ndio wenye uhalali na nchi hii, wengine ni ma foreigners!!Mkuu unanionea bure. Nimewakilisha mawazo ya watawala (ccm). Kwani wewe huwasikii wanayohubiri na kutenda wakiwa majukwaani?
Tumekamatwa haswa mkuu.Hahaaaa!! Sorry mkuu!! Kwani wanatia hasira kweli utadhani ndio wenye uhalali na nchi hii, wengine ni ma foreigners!!
Wakati wa mvua kubwa kunyesha .Daraja la Ulongoni A limekatika na kuua mzee moja aliyebeba mzigo mgongoni akijaribu kuvuka. Tunaomba Serikali ya CCM itusaidie kulijenga kwani diwani wetu ni wa CHADEMA !!