Watanzania tunapenda sana kuchonganisha! Ametoa mfano tu sio lazima Tuka link na daraja la kigamboni! Pia nimeanza kumuelewa JPM kuwa huwa hana selection nzuri ya maneno au mifano! Inaoneka hiyo mifano huwa hajaandika kwenye notes zake!
Kama umemsikiliza mkuu ameongea jambo zuri sana hii mirad ya majengo inakua na upigaj mkubwa sana , lakn kama wataanzisha viwanda kutakua na manufaa tena ya muda mrefu na wanufaika wengi sana....
.... " Karavati" nimecheka sana
Mimi sijakosoa hotuba, isipokuwa nimenukuu kile alichosema JPM bila kutia chumvi, then nikakaribisha mjadala kuhusu kusudio lake. Kama kuna kitu unadhani sikunukuu vyema unaweza ukanionyesha, nitarekebisha.unajua watu wengine wanaposikiliza hotuba kazi yao ni kutafuta la kukosoa tu, hawana shida na ujumbe uliolengwa. tuwavumilie tu
Anetolea mfano wa viwanda vya ngozi na viatu. Je, navyo tutahitaji wataalamu wengi wa nje?Mmh, hilo la kuanzisha viwanda bila utaalam/wataalam na utaalam wa usimamiz nalo ni tatizo kubwa. Ni afadhali kujifunza na kujenga uwezo kabla ya kuingia huko!
Watanzania tunapenda sana kuchonganisha! Ametoa mfano tu sio lazima Tuka link na daraja la kigamboni! Pia nimeanza kumuelewa JPM kuwa huwa hana selection nzuri ya maneno au mifano! Inaoneka hiyo mifano huwa hajaandika kwenye notes zake!
Sawa, je utafiti wa masoko. Halafu usichukulie suala jepesi kwa kuwa ni kiwanda cha ngozi, je kina tija? Soko lipo? Return? So kuna mengi ya kujiridhisha, tusije kuangukia tulipoteleza awali.Anetolea mfano wa viwanda vya ngozi na viatu. Navyo tutahitahi wataalamu wengi wa nje?
....Kama umemsikiliza mkuu ameongea jambo zuri sana hii mirad ya majengo inakua na upigaj mkubwa sana , lakn kama wataanzisha viwanda kutakua na manufaa tena ya muda mrefu na wanufaika wengi sana
Ni ngumu sana kumuelewa huyu Rais wetu. Mwanzo alisifia, sasa anaponda. Ni kigeugeu.Nimesikia kauli ya JPM katika sherehe za Mei Mosi akisema kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii imekuwa ikijiingiza kuwekeza katika miradi ya ajabu ajabu. Akaendelea kushangaa kuwa badala ya kuwekeza katika viwanda vitakavyotoa ajira nyingi zitakazotengeneza wanachama wengi zaidi wa mifuko hiyo, unakuta eti mfuko unawekeza katika ujenzi wa daraja au karavati!
Najaribu kujiuliza tu, ni mfuko gani wa hifadhi ya jamii uliowekeza katika ujenzi wa daraja au karavati kiasi cha kumshangaza rais? Haya sasa, mimi nawaachia mjadala
cc Mohamed Said, Ritz, FaizaFoxy, AbasMzeEgyptian