Acha yavunjike tu
eeh MUNGU inusuru dar es salaam na hizi mvua pamoja na tanzania yote kwa ujumla
Acha yavunjike tu
Amen...Mungu awaepushie tamaa viongozi maana walitakiwa kujifunza kutoka kwenye majanga yaliyopita na kuchukua hatua za haraka kurekebisha miuondo mbinu mapema, lakini wao wametoa vipaumbele kwenye matibabu yao India na Marekani na kujilipa 300,000 kwa siku.
Mungu awaepushie tamaa viongozi maana walitakiwa kujifunza kutoka kwenye majanga yaliyopita na kuchukua hatua za haraka kurekebisha miuondo mbinu mapema, lakini wao wametoa vipaumbele kwenye matibabu yao India na Marekani na kujilipa 300,000 kwa siku.
afadhari hilo gari ni STKAcha yavunjike tu
hahahaha hahaha duh kweli watu wameichoka serikali hiiYavunjike yote tuu...Hata lilejipya la juu la Kigamboni...
Kauli ya kijinga
Watakaoteseka ni masikini, mafisadi sasa giving Wana piga dili la emergency fund za procurement za ujenzi wa madaraja, wanasiasa Wana piga dili la allowances za kutembelea wahanga, waliotujengea madaraja hafifu wanajipanga kwa ajili ya tends
This is bad news to poor people. Watakosa sawa, vitabu na mbolea kwa sababu pesa Si.eenda kwenye maafa
Wale wapuuzi Dodoma wataongezewa siku kujadili maafa na kutoa pole
mwenye zamu wa leo kaamuaaa mkuu ila hii ndy kwanza trella bado movie yenyewe bado alijanza.alafu movie lenyw la kihindi si unajua lilivyokua refuYaani designer wa mvua ya leo katisha