Daraja la Maligisu-Kwimba

Daraja la Maligisu-Kwimba

kidolix18

Member
Joined
May 27, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Kazi nzuri iliyofanyika Wilayani Kwetu Kwimba ya Ujenzi wa Daraja hili zuri. Asante Serikali
 

Attachments

  • 2.JPG
    2.JPG
    505.1 KB · Views: 270
  • 3.JPG
    3.JPG
    721.6 KB · Views: 228
Serikali makini inatokana na chama makini. Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Huku deni la Taifa likifikia kiwango kisichoweza kulipika, wakati maliasili zikiondoka bila huruma! Shame on Lizabon et al!
 
Huwezi kujua haya yote mpaka uwe na tabia ya kupenda kutembea,ukitembea au ukiamua kupita sehemu mbalimbali za nchi hii utaona mambo mengi sana makubwa ambayo hukudhani kuwa yapo au yanaweza kufanyika Tanzania.
 
Watu wanakwenda sayari ya mars!tanganyika bado WANA ANGAIKA NA MADARAJA!, maji wanakunywa na wanyama!.....heri ebola ije tufe.
 
Kazi nzuri iliyofanyika Wilayani Kwetu Kwimba ya Ujenzi wa Daraja hili zuri. Asante Serikali
kidolix18;
Wewe ni homboyi (home boy). Mimi nyumbani kwetu ni kijiji kimoja kinaitwa Ng'waneneka, kiko katikati ya Kadashi na Maligisu, au karibu na Ng'wabuchuma. Tuwapeni hongera nyingi sana JK, Magufuli, Mh Ndassa (Mb. Sumve) na Mh Dr. F. Limbu (Mb. Magu)
 
kanaonekana kadaraja kazuri, tutakapima ikija masika ya ukweli tuone kama katabaki kama kalivyo.
 
Back
Top Bottom