Daraja La Kigamboni likikamilika 2015

Daraja La Kigamboni likikamilika 2015

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Untitled.png
Code:
 
Hapo tukifika ni kwamba tumekuwa kizazi kingine.

Ila ccm waking'atuka madarakani tu kwa 100% twaweza sogelea.
 
kwa Lowassa kila jambo lawezekana-Jamal Malinzi
 
Oh; kweli litakuwa kama la salender bridge Dar !! mbona tunayo madaraja mengi tu!!
 
Ndoto za mchana kweupe. Tutaishia kama daraja la Manzese tu!
 
Ndoto za mchana kweupe. Tutaishia kama daraja la Manzese tu!
 
barabara.jpg


Halafu baada ya miezi sita kibarabara kitadidimia kama hiki
 
Tz bado sana rushwa na ufisad kwanza maendeleo baadae.
 
Back
Top Bottom