Daraja hili linanichanganya, wewe je?

lakini nikiangalia urefu ra man made river kama unavyosema inanipa dhamira ya wanadamu kujiletea maendeleo
Ni kweli ndugu Ruhi. Hii inatuonesha kuwa hapa kwetu tukidhamiria kweli kuna mambo mengi sana tunaweza kufanya kuboresha maisha yetu kama taifa. Tuombe Mungu nia njema ya JPM itusaidie kujenga misingi ya kutupeleka kwenye mambo makubwa yatakayobadilisha uchumi na maisha ya wananchi.
 
SHANGAI CHINA MAIN INTERCHANGE, Watu wanajenga interchange ya namna hii....watu watachelewa kwa foleni ya wapi?
 
lakini nikiangalia urefu ra man made river kama unavyosema inanipa dhamira ya wanadamu kujiletea maendeleo
Kuna Matifa wanalinda maendeleo yao kwa kila namna na kila njia!! Lakini wao hao hao hawapendi kuona wenzao wakiendelea au kujitegemea...!!!
(mfano ipo wazi na tumeshuhudia kwa macho yetu)!!

ona hii Libya
 
Nia njema ipi? tunabakia kutumbua upele na chunusi mpaka uchaguzi mwingine utukute hivi hivi, yule baba mwingine alitupa matumaini ya kuzidi haya, lakini miaka kumi tukabaki tunaota moto tunasubiri mawe yaive.
 
Huo nao ni mtazamo. Unaweza ukawa sawa au siyo sawa ila una haki ya kuwa na mtazamo kama huo hasa ukizingatia ahadi kemkem ambazo hazikutekelezwa kama tulivyotarajia. Mimi nimechagua kuwa na mtazamo chanya kuwa ipo siku tutapiga hatua tu kwenda mbele.
 
mimi nimeweka mtazamo kuwa napiga hatua sasa kwenda mbele, sisubiri tena ahadi ya wanasiasa, nimeamua kuto shiriki kwa namna yoyote katika mambo ya kisiasa, namaanisha kuchagua au kuchaguliwa katika Nyanja yoyote ya kisiasa, sitompigia kura raisi, mbunge, diwani wala mwenyekiti wa kijiji, sijaona faida yoyote ya kuwa na watu nilio wataja hapo, hakuna any direct effect in positive way katika maisha yangu iliyo changiwa na hao watu, nimekuwa nikikatwa pesa lukuki kwenye salary yangu kwaajili ya makodi yasiyo reflect back to my daily life.
 
Reactions: ydn
man made river bridge , ni kitendo cha kuweka pesa chini na kuiamishi akili kwenye tangible means , tunajikuta kama vile hatuwezi kutokana na uchumi weu kua mbaya pia na kudhalisha engineers wa kutengeneza Barabara
 
SHANGAI CHINA MAIN INTERCHANGE, Watu wanajenga interchange ya namna hii....watu watachelewa kwa foleni ya wapi?

hapo kupotea nje nje mkuu, kama kwa sasa hizi tu bado tunapotea vipi hizo zikijengwa huku bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…