Daraja chini ya ujenzi laporomoka huko Kenya

Huku Kenya hatufichi habari ata kifo kiwe cha nani.
No deaths reported.
 
Wee tangu lini mtu amesoma linguistics, halafu anaenda university kusomea civil engineering.
 
QS NairobiWalker njoo huku utujuze kuhusu BoQ waliotumia. Walitumia kweli ya daraja au ya darasa?
Jamaa amejificha anasubiri alete majigambo tu. Kwa mfano kwenye Global Peace Index 2021 kwa Africa Tanzania ipo top ten lakini hatuna haja ya kujisifu, ingekuwa imetokea kwa hawa nyang'au leo tusingelala.
 
🤣🤣🤣

Tangu nimpe ile taarifa ya kwamba 50+% of Nairobi buildings are not fit for human habitation. Sijamuona tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…