Dar YATAPIKA Mkutano wa Magufuli, NYOMI YA KUFA MTU

Watu wa dar wana uniform za green & gold? Ukweli ni kwamba huo ni mkusanyiko wa ccm zealots wanaoishi dar & pembezoni (wengine watakuwa wametoka Bagamoyo, Chalinze, Mkuranga, nk).
 
Watu wa dar wana uniform za green & gold? Ukweli ni kwamba huo ni mkusanyiko wa ccm zealots wanaoishi dar & pembezoni (wengine watakuwa wametoka Bagamoyo, Chalinze, Mkuranga, nk).

kama ndio wa ccm huoni hilo ndio jema maana wana uhakika wa hizo kura
 
attachment.php
 
Hii ni photoshop ya mikutano yote iliyofanyika nchi nzima ambayo = na mkutano wa lowasa mikumi
 
Mkamba Mmasai huo ni urongo kwa sababu Lowassa hakuenda moro bali alienda ifakara, mlimba, ruaha na akamalizia maili moja kibaha. leo nimekutafuta ili sasa uzungumzie nyomi la jana kulinganisha na hili la sasa linalomsikiliza rais mtarajiwa
Lowassa leo kadoda, KAZOMEWA MORO yeye na SUMAYE
 
Back
Top Bottom